Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Huyo Mkurugenzi naye kabambikiwa na maadui wake wa kisiasaWewe unaona kesi ya kubambikiwa Mbowe ya ugaidi, ndiyo yenye maslahi mapana kwa Taifa hili??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mkurugenzi naye kabambikiwa na maadui wake wa kisiasaWewe unaona kesi ya kubambikiwa Mbowe ya ugaidi, ndiyo yenye maslahi mapana kwa Taifa hili??
Kiukweli awamu ya tano iliharibu sana mfumo mzuri uliokuwepo wa kuwapata ma DED ambapo ili uwe DED ilikuwa lazima uwe mkuu wa Idara mzoefu, tena ambaye amethibitishwa kazini, meaning kwamba lazima atakuwa mtu mwenye angalau not less than 10 days ya utendaji kwenye halamashauri kama mkuu wa Idara. Jambo hili lilisaidia sana kuwapata wakurugenzi wenye uzoefu mkubwa wa kazi, na jinsi ya kufanya kazi na madiwani. Pia liliongeza morali ya kazi mtu kujituma na kuwa mbunifu akijua kwamba one day atakuwa mkuu wa Idara na baadae Mkurugenzi.Hawa wakurugenzi huwa ni makada na zao la uvccm na ni ngumu kutengenisha CCM na wizi.
Mwizi lazima amlinde mwizi.Za mwizi 40
Nadhani wakati ule ilikua ya 39😂😂😂😂
mrangi hata ukiibia halmashauri tayari umemuibia mtuWabongo sisi wezi
Mm nna ujanjaujanja
Lakini sijawahi fikiriaga
Kumuibia mtu
Ova
We bado una chuki kwa marehemu. Tunaofahamu ilianza zamani sana! ma DED wote wa Kikwete walikuwa watu wa hovyo hovyo tu! Ndo hao akina Wilson Kabwe walioiba Mbeya, Mwanza na wakakwama Dar kwa Magufuli.Kiukweli awamu ya tano iliharibu sana mfumo mzuri uliokuwepo wa kuwapata ma DED ambapo ili uwe DED ilikuwa lazima uwe mkuu wa Idara mzoefu, tena ambaye amethibitishwa kazini, meaning kwamba lazima atakuwa mtu mwenye angalau not less than 10 days ya utendaji kwenye halamashauri kama mkuu wa Idara. Jambo hili lilisaidia sana kuwapata wakurugenzi wenye uzoefu mkubwa wa kazi, na jinsi ya kufanya kazi na madiwani. Pia liliongeza morali ya kazi mtu kujituma na kuwa mbunifu akijua kwamba one day atakuwa mkuu wa Idara na baadae Mkurugenzi.
Hiki ndicho Ccm walitaka,Morogoro.
Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya wizi wa mabati 1,100 mali ya halmashauri ya Wilaya ya Kilosa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslimu amesema hayo leo Jumanne Agosti 24, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Muslimu amesema kutokana na wizi huo watu wengine saba wanashikiliwa na wanadaiwa kushirikiana mkurugenzi huyo na wanaendelea kuhojiwa.
Awali Mwambambale alikuwa mkurugenzi wa halmamshari ya Kilosa kabla ya kuhamishwa halmashauri ya Gairo.
Wizi wa mabati hayo ulifanyika Juni 17, 2021 eneo ya ujenzi kitongoji cha Mvumi B wilayani Kilosa katika stoo ya halmashauri hiyo ambayo haikuvinjwa ambapo stoo hiyo haikuvunjwa.
We bado una chuki kwa marehemu. Tunaofahamu ilianza zamani sana! ma DED wote wa Kikwete walikuwa watu wa hovyo hovyo tu! Ndo hao akina Wilson Kabwe walioiba Mbeya, Mwanza na wakakwama Dar kwa Magufuli.
Watu walipewa ukurugenzi kwa kuombewa wapelekwe halmashauri 'nzuri'
njaa haina njiaMorogoro.
Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya wizi wa mabati 1,100 mali ya halmashauri ya Wilaya ya Kilosa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslimu amesema hayo leo Jumanne Agosti 24, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Muslimu amesema kutokana na wizi huo watu wengine saba wanashikiliwa na wanadaiwa kushirikiana mkurugenzi huyo na wanaendelea kuhojiwa.
Awali Mwambambale alikuwa mkurugenzi wa halmamshari ya Kilosa kabla ya kuhamishwa halmashauri ya Gairo.
Wizi wa mabati hayo ulifanyika Juni 17, 2021 eneo ya ujenzi kitongoji cha Mvumi B wilayani Kilosa katika stoo ya halmashauri hiyo ambayo haikuvinjwa ambapo stoo hiyo haikuvunjwa.
Morogoro.

CCM kumejaa majangili tupuHawa wakurugenzi huwa ni makada na zao la uvccm na ni ngumu kutengenisha CCM na wizi.
Watu wanaiba kura tu sembuse mabati ya kujengea ?Mabati[emoji15][emoji15][emoji15]
Mkurugenzi katia aibu wallah
CCM ni ukoo wa wezi wanaiba hadi wake za watu.Mabati[emoji15][emoji15][emoji15]
Mkurugenzi katia aibu wallah
Nani aliiba fedha kule ?Tate Mkuu binadamu ndio wezi sio chama
Huoni kule kwenu wanavyoiba kuanzia pesa hadi binadamu wenzao wake kwa waume!??
Wewe ni mpumbavu! Tabia iko moyoni mwa mtu na hakuna malaika hata uwe nani huwezi kumjua mtu kama ni mwadilifu! Unapenda majungu tu ya kujinga! Kila Rais anafanya mambo anavoona yeye inafaa! Umebaki kuwa na chuki ya awake ya tano! Hiyo ishapita jadiri hoja wewe pimbi! Hao unoosema wenye rekodi za utendaji wao walikuwepo ila ni ujinga tu hakuna la maana lililofanyika miaka nenda rude.Kiukweli awamu ya tano iliharibu sana mfumo mzuri uliokuwepo wa kuwapata ma DED ambapo ili uwe DED ilikuwa lazima uwe mkuu wa Idara mzoefu, tena ambaye amethibitishwa kazini, meaning kwamba lazima atakuwa mtu mwenye angalau not less than 10 days ya utendaji kwenye halamashauri kama mkuu wa Idara. Jambo hili lilisaidia sana kuwapata wakurugenzi wenye uzoefu mkubwa wa kazi, na jinsi ya kufanya kazi na madiwani. Pia liliongeza morali ya kazi mtu kujituma na kuwa mbunifu akijua kwamba one day atakuwa mkuu wa Idara na baadae Mkurugenzi.
Waambie hawa watu kazi yao kulaumu chama! Ni ujinga mkubwa watu ni wezi tokea nyumbani kwao unataka Samia au ccm ifanyenini kukuzuia! Ufungwe tu au ufirisiwe!Hata wewe mwizi. Swala uliiba Nini na hujakamatwa. CCM kama chama mtu anayekikuta ukibwani hakiwezi mtengeneza tabia yake. Watanzania wengi wetu tunapenda mtelemko na maisha Bora ya fasta fasta. Haina uchama hiyo mkuu.
Wewe mpumbavu mbona huelewi huo uzoefu unaozungumzia ulileta Tina gani miaka hiyo kama ujingz na upumbavu kama huu kwenye halmashauri ulikuwepo! Kidogo hata kwa Magu halmashauri zimefanya vitu vya maana kama mahospital na ukarabati wa should kongwe lakini miaka ya nyumba hao wakurugenzi uchwara wa zamani walikuwa Wezi tu hamna la maana!Niwe na chuki ndiyo nitapata pesa na kuboresha maisha yangu? Mfano nikuchukie wewe what exactly am going to achieve? sina muda na huo ujinga, back to the point: Mimi nimebahatika kuona na kuishi serikali zote za nchi hii since Nyerere mpaka hii awamu ya sita, so I know what am talking. Pia nimeshiriki kazi nyingi zinazohusiana na local govts na serikali kuu, so I also know what am talking. Nafasi ya Mkurugenzi ni very professional and needs alot of skills, na pia uzoefu mkubwa wa namna halmashauri zinavyotakiwa kufanya kazi, kuwasimamia na kushirikiana vizuri na wakuu wa Idara na madiwani etc etc. Mapungufu ya watu wachache kwenye kundi wa wakurugenzi mia tatu na ushee hayawezi kukosekana, hata kipindi cha huyo Magufuli tumeshuhudia kila siku akifanya kazi ya kuteua na kutumbua. Ninachosema ni kwamba huwezi kujaza makada wa chama chako kwenye nafasi ambazo zinahiyaji wataalamu wenye uzoefu wa kutosha kama wakuu wa Idara. Pili unapokimbilia kujaza makada wa siasa kwenye hizo nafasi unategemea nini kwa wakuu wa Idara na watumishi wengine wanaopambana day and night kuinua halmashauri zao?
Kwahiyo rais anafanya mambo anavyoona inafaa siyo kwa mujibu wa sheria ?Wewe ni mpumbavu! Tabia iko moyoni mwa mtu na hakuna malaika hata uwe nani huwezi kumjua mtu kama ni mwadilifu! Unapenda majungu tu ya kujinga! Kila Rais anafanya mambo anavoona yeye inafaa! Umebaki kuwa na chuki ya awake ya tano! Hiyo ishapita jadiri hoja wewe pimbi! Hao unoosema wenye rekodi za utendaji wao walikuwepo ila ni ujinga tu hakuna la maana lililofanyika miaka nenda rude.
Kwahiyo rais anafanya mambo anavyoona inafaa siyo kwa mujibu wa sheria kichwa
Elewa mjadala unahusu nini! Uzipende kuongea tu kama huna kichwa!Kwahiyo rais anafanya mambo anavyoona inafaa siyo kwa mujibu wa sheria ?