Kwanini watu washukie na kupakia Kange wakati 98% ya watu wanakaa mjini Tanga na viunga vyake excluding Kange?
Ridiculous kuwa gari liko barabara say ya 14. Analiacha anapanda basi dogo kwenda kupakia Kange! Una maana gani kwa hatua hii?
Most likely wewe and your cronies mna daladala zenu unazitafutia soko/ abiria, short of that huwezi kufanya upuuzi huu.