Mkurugenzi wa NIDA atakiwa kujieleza kwanini asifutwe kazi

Mkurugenzi wa NIDA atakiwa kujieleza kwanini asifutwe kazi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Kangi Lugola amemwagiza Mkurugenzi wa NIDA kukutana naye kwenye ofisi za NIDA Lindi tarehe 11 January, huku akiwa na maelezo ya kutosha kuhusiana na ucheleweshaji wa vitambulisho ili asifutwe kazi.

Chanzo: Watetezi TV
 
Wanamtoa mhanga bure.. Ukweli unajulikana... Uhaba wa malighafi na vitendea kazi
Waziri wa Mambo ya ndani Mh Kangi Lugola amemwagiza Mkurugenzi wa NIDA kukutana naye kwenye ofisi za NIDA Lindi tarehe 11 January , huku akiwa na maelezo ya kutosha kuhusiana na ucheleweshaji wa vitambulisho ili asifutwe kazi .

Chanzo : Watetezi TV

Jr[emoji769]
 
anajitutumua maana tarehe zinaenda kwa kasi sana
 
Back
Top Bottom