Mkurugenzi wa NIDA atakiwa kujieleza kwanini asifutwe kazi

Mkurugenzi wa NIDA atakiwa kujieleza kwanini asifutwe kazi

Nasisi tuliotumia id za watu tutapataga nafas ya kuhariri taarifa zetu siku za usoni?
 
Yaani waziri hajui kwanini NIDA wameunderperform? Basi na yeye anapaswa kujieleza kwanini asifutwe kazi maana kwa nafasi yake alipaswa kuwa na details zote.

Kweli umengoea,naona hawa watu hizi Microphones na Camera mbele zao zinawatoa ufahamu. Unatoa maagizo kama vile hukwenda shule na wakati mtu umepewa dhamana kubwa ya serikali!?

Kauli zingine inabidi wenye mamlaka za uteuzi waangalie kama viatu walivyowavalisha vinawatosha au la. Ni vizuri kupima kama agizo unalolitoa linatekelezeka vinginevyo. Mambo ya matamshi haya inabidi viongozi wajipime vinginevyo inatia mashaka kuwahacha waendelee kusimamia majukumu makubwa kama haya!
 
Tatizo ni deadlines zinazotolewa.Swala la NIDA ni endelevu ,kuamisha tatizo hili alibebe mkurugenzi sio sawa .Kama resources za kufanya ilo zoezi ni chache ni vyema kwanza kuimalisha resources hizo
 
Back
Top Bottom