Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Waziri wa Mambo ya ndani Mh Kangi Lugola amemwagiza Mkurugenzi wa NIDA kukutana naye kwenye ofisi za NIDA Lindi tarehe 11 January , huku akiwa na maelezo ya kutosha kuhusiana na ucheleweshaji wa vitambulisho ili asifutwe kazi .
Chanzo : Watetezi TV
pamoja na nguvu kazi nida unakuta wilaya nzima yuko moja au wawili kazi ni kubwa sanaWanamtoa mhanga bure.. Ukweli unajulikana... Uhaba wa malighafi na vitendea kazi
Jr[emoji769]
ilifahamika mapema kwamba lazima adondoshewe jumba bovu , hata yeye mwenyewe alishasoma alama za nyakatiWanamtoa mhanga bure.. Ukweli unajulikana... Uhaba wa malighafi na vitendea kazi
Jr[emoji769]
Ukifuatilia kwa makini huyu mkurugenzi lazima katoka kule walipo mpa kura nyingi. Lazima ni wa kanda yetu. Maana kwa huu ujinga wanao fanya NIDA hange kuwa ofisini kama sio potiMwenye Uwezo Wa Kumfuta Kazi Ni Aliyemteua Tu.
Ndo taabu ya haya matamko ya kisiasa ya kupeana siku saba and likely bila kufanya upembuzi yakinifu na kujua rasilimali ulizonazo period!Wanamtoa mhanga bure.. Ukweli unajulikana... Uhaba wa malighafi na vitendea kazi
Jr[emoji769]
Hili nililitegemea maana hata ukifanya utafiti usio rasmi ni kwamba watu wengi wamekamilisha zoezi hili kwa kutumia namba za NIDA za watu wengine of which halikuwa lengo la zoezi husika!