TANZIA Mkurugenzi wa Quality Building Construction afariki dunia

Hili jibu nimelishangaa kidogo. Watu waliaminishwa barakoa ni mbaya tena eti zimewekewa Korona. Hivi unategemea a normal citizen kuamini barakoa? Ukiuliza utapata majibu kuwa hakuna korona tumeambiwa na pia barakoa tuliambiwa hazisaidii hata baba alisema. Mimi ninavaa hata wanishangae. Leo nilihudhuria msiba wa jirani amefariki kwa tatizo la upumuaji. Japo tulikuwa wachache maana tulikubaliana majirani twende mmoja mmoja. Niliowakuta nje na ndani hakuna mwenye barakoa. Hivyo niliona kama wamenishangaa na kibarakoa changu. Hii ndiyo Tanzania iloyoaminishwa hakuna Corona na barakoa ni mbaya. Sad
 
Mpaka waanze kudondoka viongozi wazito ndiyo utaona matamko kila kona.

Imagine kanisa katoliki walitoa tamko baada ya mapadri kadhaa kufariki wasingejisumbua kama wasingeguswa.
KABISA Mkuu. Mbaya sana na hali si njema mtaani. Leo kwetu hapa tuna misiba miwili Pneumonia
 

Na kikoi, au sio? [emoji16]
 
Unatumika na mabeberu tu..
 
Mimi nilishaambiwa naogopa kufa Lisa nimevaa barakoa.nilienda mkoani kwenye basi ni peke yangu nilievaa. Watu wananiangalia tu
 
Yaan Wewe kuvaa barakoa unasubiri tangazo la Mama Gwajima?
Mpaka waanze kudondoka viongozi wazito ndiyo utaona matamko kila kona.

Imagine kanisa katoliki walitoa tamko baada ya mapadri kadhaa kufariki wasingejisumbua kama wasingeguswa.
 
Hapa muda huu Kuna jamaa amefariki dk 5 zilizopita Jana alikuwa dar
 
Tetesi zinadai hali yake si hali na bado kalazwa na anapumua kwa kutumia ventilator. Sijui kwanini hawatoi updates.
Haya tujiandae kisaikolojia.

Hapo makamu wa kwanza aliugua hatujui maendeleo yake.

Tusubiri huyo aloshika maiki kama mapafu yake ni kama ya mkurugenzi,tujiandae kutoa salam za pole.
 
Reactions: 1gb
Tetesi zinadai hali yake si hali na bado kalazwa na anapumua kwa kutumia ventilator. Sijui kwanini hawatoi updates.
Hivi Ahmed Salim yupo wapi?
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…