Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Labda mpaka Number 1 aupateSiku Pneumonia ya kisasa itakapomdondosha mtu gani sijui ndiyo watajua maana ya kuliambia taifa livae barakoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mpaka Number 1 aupateSiku Pneumonia ya kisasa itakapomdondosha mtu gani sijui ndiyo watajua maana ya kuliambia taifa livae barakoa
🙏🙏Hapa kwangu ni 12:40.
Siku bado ndefu sana. Eeh mola wetu utupishilie mbali na hili dhahama.
Apumzike kwa amani.
Kuna wengine siwaoni vizuri wamefichwa ndio maana sikutaka kusema wote, ningeshambuliwa na wapiga nyungu.Toa neno wengi weka WOTE
Hili jibu nimelishangaa kidogo. Watu waliaminishwa barakoa ni mbaya tena eti zimewekewa Korona. Hivi unategemea a normal citizen kuamini barakoa? Ukiuliza utapata majibu kuwa hakuna korona tumeambiwa na pia barakoa tuliambiwa hazisaidii hata baba alisema. Mimi ninavaa hata wanishangae. Leo nilihudhuria msiba wa jirani amefariki kwa tatizo la upumuaji. Japo tulikuwa wachache maana tulikubaliana majirani twende mmoja mmoja. Niliowakuta nje na ndani hakuna mwenye barakoa. Hivyo niliona kama wamenishangaa na kibarakoa changu. Hii ndiyo Tanzania iloyoaminishwa hakuna Corona na barakoa ni mbaya. SadWewe na utuuzima wako unasubiri mtu aje akwambie uvae barakoa..una akili kweli...hujui zinapopatikana, hujui umuhim wake, hujui njia za kuepuka maambukizi mbalimbali...hivi unadhan Tanzania yetu Nani asiyeijua barakoa...sasa kuvaa napo mpaka uambiwe..huo ni ujinga sana
KABISA Mkuu. Mbaya sana na hali si njema mtaani. Leo kwetu hapa tuna misiba miwili PneumoniaMpaka waanze kudondoka viongozi wazito ndiyo utaona matamko kila kona.
Imagine kanisa katoliki walitoa tamko baada ya mapadri kadhaa kufariki wasingejisumbua kama wasingeguswa.
Wanasiasa ni washenzi sana wakiguswa utaona watapindua meza kibabe.KABISA Mkuu. Mbaya sana na hali si njema mtaani. Leo kwetu hapa tuna misiba miwili Pneumonia
Magufuli anawadanganya kweli .Jamani kila mtu ana mwili na nafsi yake. Usivae barakoa eti kisa Magufuli kasema msivae. Vaeni Barakoa jamani. Maisha yalivyo matamu hivyo. Haiwezekani kufa kizembe. Barakoa navaa,mikono nanawa mara milion kwa siku. Kwenye pochi yangu haukosi Barakoa na Sanitizer.
Ndio maana nimeuliza picha ya lini hili tujue nani kamuambukiza mwenzake.Ungemalizia na mpenda madaraka keshaugua 🙄🙄
Natamani awe headprefectSiku Pneumonia ya kisasa itakapomdondosha mtu gani sijui ndiyo watajua maana ya kuliambia taifa livae barakoa
Unatumika na mabeberu tu..Magufuli anawadanganya kweli .Jamani kila mtu ana mwili na nafsi yake. Usivae barakoa eti kisa Magufuli kasema msivae. Vaeni Barakoa jamani. Maisha yalivyo matamu hivyo. Haiwezekani kufa kizembe. Barakoa navaa,mikono nanawa mara milion kwa siku. Kwenye pochi yangu haukosi Barakoa na Sanitizer.
Mimi nilishaambiwa naogopa kufa Lisa nimevaa barakoa.nilienda mkoani kwenye basi ni peke yangu nilievaa. Watu wananiangalia tuHili jibu nimelishangaa kidogo. Watu waliaminishwa barakoa ni mbaya tena eti zimewekewa Korona. Hivi unategemea a normal citizen kuamini barakoa? Ukiuliza utapata majibu kuwa hakuna korona tumeambiwa na pia barakoa tuliambiwa hazisaidii hata baba alisema. Mimi ninavaa hata wanishangae. Leo nilihudhuria msiba wa jirani amefariki kwa tatizo la upumuaji. Japo tulikuwa wachache maana tulikubaliana majirani twende mmoja mmoja. Niliowakuta nje na ndani hakuna mwenye barakoa. Hivyo niliona kama wamenishangaa na kibarakoa changu. Hii ndiyo Tanzania iloyoaminishwa hakuna Corona na barakoa ni mbaya. Sad
Mpaka waanze kudondoka viongozi wazito ndiyo utaona matamko kila kona.
Imagine kanisa katoliki walitoa tamko baada ya mapadri kadhaa kufariki wasingejisumbua kama wasingeguswa.
Babu atakuwa kamwambukiza mjukuu.Ndio maana nimeuliza picha ya lini hili tujue nani kamuambukiza mwenzake.
Wewe!Kwa hii picha Maalim ameshaugua, mmoja huyo ameshatangulia, nani atafuata??
Wewe ufeTungependa nani afe ndio akiri zetu zikae sawa?
Haya tujiandae kisaikolojia.
Hapo makamu wa kwanza aliugua hatujui maendeleo yake.
Tusubiri huyo aloshika maiki kama mapafu yake ni kama ya mkurugenzi,tujiandae kutoa salam za pole.
Hivi Ahmed Salim yupo wapi?Tetesi zinadai hali yake si hali na bado kalazwa na anapumua kwa kutumia ventilator. Sijui kwanini hawatoi updates.
Hivi Ahmed Salim yupo wapi?