Uko sahihi.Ila kama kuna mwaka ma prof wa SUA wamepukutika ni 2020.
Wasipoajiri na kupandisha status za wanazuoni kile chuo kitabakiza maDokta na tutorial assistants.
R.I.P Prof Gagambi
Everyday is Saturday............................... π
Hivi wewe elimu yako ni ipi? Hujui hata NDC? Ama kweli CCM kumejaa majitu majinga!!Hilo shirika linahusu nini
Yaani CCM imejaza majitu majinga majinga tu! Ona hili nalo linaulizwa NDC inahusika na nini lenyewe linatoa location! Mtaji wa CCM ni ujinga!!Shirika la maendeleo la Taifa , lipo mkabala la mahakama ya Rufani ya Tanzania na pia BOA ( Bank of Afrika) barabara ya kivukoni.
Very smart! Nilikua nikisoma sana makala zake enzi hizo zikichapishwa kwenye gazeti la RAI likiwa linamilikiwa na kina Jenerali Ulimwengu.Niliwahi Pata bahati ya kumsikiliza ITV ...the guy was smart..
RIP Prof
Hilo shirika linahusu nini
Umeulizwa linahusika na nini wewe unataja location, tabula rasa.Shirika la maendeleo la Taifa , lipo mkabala la mahakama ya Rufani ya Tanzania na pia BOA ( Bank of Afrika) barabara ya kivukoni.
Yaani CCM imejaza majitu majinga majinga tu! Ona hili nalo linaulizwa NDC inahusika na nini lenyewe linatoa location! Mtaji wa CCM ni ujinga!!
Hata huyu Jane Lowassa halielewiMkuu hujaona hapo shirika la maendeleo la Taifa.
Bingwa wa kuandika utumbo wa pweza huyo. Hafai hata kwa kusimamia ujenzi wa choo
Mkuu, mdau anataka kujua shirika linahusika na nini! Yeye amesoma kuwa kweli ni shirika la maendeleo lakini hajui linahusika na nini. Nadhani alitaka kujua kazi za hilo shirika na sio location kama ulivyomjibu.Mkuu hujaona hapo shirika la maendeleo la Taifa.
Dash mbona tafsiri yake inajieleza mkuu,Mkuu, mdau anataka kujua shirika linahusika na nini! Yeye amesoma kuwa kweli ni shirika la maendeleo lakini hajui linahusika na nini. Nadhani alitaka kujua kazi za hilo shirika na sio location kama ulivyomjibu.
Viazi huko upinzani mko wengi, mtu akisema shirika la maendeleo kuna haja ya kufafanua zaidi kuwa hilo shirika linahusika na nini??Yaani CCM imejaza majitu majinga majinga tu! Ona hili nalo linaulizwa NDC inahusika na nini lenyewe linatoa location! Mtaji wa CCM ni ujinga!!
Una uhakika huyo 'jamaa yako' ana ubongo kichwani?[emoji41]Haya maisha hakuna mwenye hisani nayo.
Nakumbuka kipindi cha 2014/2016 kuna jamaa yangu mmoja huyo alikuwa akifanya masters degree SUA.
Alikuwa akilalamika kuwa yupo prof mmoja aliitwa Gabagambi aliyemnyanyasa sana. Alitamani apigwe walau na radi mradi jamaa atulie.
Leo hii Prof kasepa na naamini jamaa yangu alimsamehe kabla hajaondoka.
RIP Prof.
ππππWapigakura wa CCM kwa nini ni wajinga kiasi hiki? Mtaji wa CCM ni ujinga. Elimu yetu itaendelea kuwa mbovu kama mkakati wa CCM kuendelea kuwa madarakani.
Hilo shirika linahusu nini
Nimeshangaa sana. Kumbe hawa ni kasuku tu hawaelewi hata kwa nini wanashamgilia ccm. Halafu ukute huyu ni uvccm na keshokutwa amakuwa DC. Hii nchi ina hasara sana wallahYaani wewe kijana wa magufuli hujui NDC inashunghulika na nn daaa magufuli ana hasara sana kumbe mnaomzunguka ni vilaza kiasi hiki
Eleza shirika linahusika na nn? Nina uhakika asilimia kubwa hamjui hilo Shirika linaendeleza nn hasa. Mmekakaa tu kama kasuku, mnaojificha kwenye kuwahi kukosoa hata hamjaelewa swali.Nimeshangaa sana. Kumbe hawa ni kasuku tu hawaelewi hata kwa nini wanashamgilia ccm. Halafu ukute huyu ni uvccm na keshokutwa amakuwa DC. Hii nchi ina hasara sana wallah
Kiingereza Cha Dumu na fagio primary schoolI think it was a matter of answering my question rather than speaking a lot of things here because it does not help anyone. I thought you're smart but now I know you're not.