Mkurugenzi wa Temeke, Mwakabibi awasweka ndani waandishi wa habari ili wasihudhurie kikao chake na wafanyabiashara

Mkurugenzi wa Temeke, Mwakabibi awasweka ndani waandishi wa habari ili wasihudhurie kikao chake na wafanyabiashara

Lusubilo Mwakabibi kafanya haya kweliii !! My former boss
Kauli ya mkuu wa shule baada ya kujinyonga
JamiiForums1925382151.jpg
 
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.

Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.

Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.

Chanzo: ITV habari

My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!
Alitumia Askari gani kuwaweka ndani hao waandishi wa habari,Kama alitumia Polisi tunaomba Sirro atupe barua iliyoamuru hao waandishi wawekwe ndani
 
Back
Top Bottom