digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Kauli ya mkuu wa shule baada ya kujinyongaLusubilo Mwakabibi kafanya haya kweliii !! My former boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli ya mkuu wa shule baada ya kujinyongaLusubilo Mwakabibi kafanya haya kweliii !! My former boss
Tayari ameisha msalimu kwa jina la JamhuriTusubiri Mjazake atafanyaje
Bashungwa aliahidi kumshughulikia!Kaliwa kichwa
Kaliwa kichwa
Alitumia Askari gani kuwaweka ndani hao waandishi wa habari,Kama alitumia Polisi tunaomba Sirro atupe barua iliyoamuru hao waandishi wawekwe ndaniMkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara.
Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi anawakatia risiti feki wanapolipia kodi za vibanda vyao.
Waandishi wamedai kuwekwa ndani hadi mkutano ulipokwisha ndipo wakaachiliwa huru.
Chanzo: ITV habari
My take; Mwakibibi anajisahau sana utawala huu siyo wa mwendazake!