Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera awaonya wasimamizi wa uchaguzi kuwa wataumbuka

Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera awaonya wasimamizi wa uchaguzi kuwa wataumbuka

Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Bw. Mahera amewaonya wasimamizi wa uchaguzi ambao wameficha barua za uteuzi za wagombea wa ubunge na udiwani ambao walishinda rufaa zao kwa sababu majina na picha zao zitakuwepo kwenye karatasi za wangombea halali wa uchaguzi.

Hivyo amewaangiza wasimamizi wa uchaguzi wakabidhi barua hizo kwa wagombea ili waendelee na kampeni kuomba ridhaa kwa wananchi kwa nafasi walizoomba.

Chanzo: Taarifa ya habari ITV saa mbili usiku.

Swali: Je, Tume ya Uchaguzi haina mamlaka kamili ya kuwadhibiti na kuwasimamia wasimamizi wa uchaguzi?
Ilikuwa wapi,imekuwa wapi siku zotehizo.
 
Jambo la kushangaza sana hili. Siku zote alikuwa wapi kusema haya hadi leo hii zikiwa zimebaki siku 13? Hayajui majina ya hao wagombea na vyama vyao ili kuwasiliana nao kujua kama wamepewa barua husika? Na kama hawajapewa kuwachukulia hatua muafaka hao wahuni?
Na kinachomkwamisha nini yeye kuweka hadharani hayo majina yakafahamika ni nini?

Suala la barua ni hatua ya mwisho, alitakiwa aweke majina hayo hadharani mapema na hao wasimamizi tutajuana nao huku field
 
Mahera atafungwa baada ya uchaguzi , ni kweli kwamba tumesema hatutalipa kisasi lakini watu duni kama Mahera tutawashughulikia bila huruma
Ebwana eeh, sio kila ahadi lazima itekelezwe. Kwa kusema hatutalipa visasi ilipaswa kuanzia hapo tuheshimiane. Lakini kwa vile dharau ndio kama zinaongezeka kwa sababu kuna ahadi ya kutolipa visasi, sasa badi maana VIPO.

Sii unaiona hata matukio ya polisi wanawatia vidole kina mama wanaogeshimika? NEC nao ndio hivyo? Wakurugenzi wanaweka barua kwenye draw mwezi! Hapana VISASI VIPO AND THEY WILL FACE THE CONSEQUENCES
 
Hii tume imevuruga sana uchaguzi...adhabu zote za maadili wanapewa wapinzani tu, hakuna mwanaccm hata mmoja aliyekutwa na adhabu.Tume imeengua wagombea kijinga kabisa.Na mgogoro mkubwa unakuja ni wa kuengua Mawakala wa upinzani vituoni.Vinara watakua mapoli's na wakurugenzi.
Hii ya kuengue mawakala au kutowaapisha sui Jambo dogo, Kama tume ikijitoa ufaham juu ya hili uchaguzi unaweza kuishia hapa ,kwa sababu vyama vya upinzani havitakubali ,tume mkijichanganya kwenye hili mwafaaa.
 
kauli anaitoa less than 2 weeks kabla ya uchaguzi?

NEC ni wabakaji wakubwa wa haki na demokrasia yetu Watanzania.
 
Hii ya kuengue mawakala au kutowaapisha sui Jambo dogo ,Kama tume ikijitoa ufaham juu ya hili uchaguzi unaweza kuishia hapa ,kwa sababu vyama vya upinzani havitakubali ,tume mkijichanganya kwenye hili mwafaaa
Unafikiri mkurugenzi kama yule wa moro mjini atakubali kuwaapisha Mawakala wa upinzani?
 
Wagombea amabao hawajapewa barua haraka sana waonane na mahera na wale wasimamizi waliozishikilia barua zao WAACHISHWE KAZI MARA MOJA
 
Unafikiri mkurugenzi kama yule wa moro mjini atakubali kuwaapisha Mawakala wa upinzani?
Ndo hapo Sasa matatizo yatakapo anzia pamoja na Safari ndefu tulipo toka mpaka tulipo Mambo yanaweza kuaribika uvumilivu huwa unamwisho ngoja tuone
 
Jambo la kushangaza sana hili. Siku zote alikuwa wapi kusema haya hadi leo hii zikiwa zimebaki siku 13? Hayajui majina ya hao wagombea na vyama vyao ili kuwasiliana nao kujua kama wamepewa barua husika? Na kama hawajapewa kuwachukulia hatua muafaka hao wahuni?
Huyo mbwa hadi radi ni stahili yake, me nawashangaa wanaotengeza radi za jero hawa, sijui hawajui waielekeze wapi.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Endeleeni kufanya mchezo tu na huu uchaguzi, yale meno yaliyotoka nje wata ya adjust

mabalozi jana walikutana na nani?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom