Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo la kushangaza sana hili. Siku zote alikuwa wapi kusema haya hadi leo hii zikiwa zimebaki siku 13? Hayajui majina ya hao wagombea na vyama vyao ili kuwasiliana nao kujua kama wamepewa barua husika? Na kama hawajapewa kuwachukulia hatua muafaka hao wahuni?
Wajifunze kwa wenzao wa KenyaJambo la kushangaza sana hili. Siku zote alikuwa wapi kusema haya hadi leo hii zikiwa zimebaki siku 13? Hayajui majina ya hao wagombea na vyama vyao ili kuwasiliana nao kujua kama wamepewa barua husika? Na kama hawajapewa kuwachukulia hatua muafaka hao wahuni?
Mijitu ya Jiwe!Huyu ni mtu anayetakiwa kujiandaa kwenda the Hague tu!