Tunarudi kule kule kwamba kuna tatizo kubwa sana linalosababishwa na kutokuwa na katiba nzuri ambayo ingeweza kutupa tume huru ya uchaguzi.
Hii ina maana kwamba hii tume haina udhibiti kwa wasimamizi wa uchaguzi kwa maana ya hawa wakurugenzi wa halmashauri.
Wakurugenzi wa halmashauri wanakuwa na kiburi walichopewa na rais Magufuli kuhusiana na ile kauli yake kuwa anawateua ili wampe shukurani wakati wa uchaguzi kwa kuwapendelea wagombea wa ccm.
Wakurugenzi hao wanaona kuwa tume ya uchaguzi hawawezi kuwatisha wakati wote wanateuliwa na mtu yule yule. Hii tume inafaa huu uchaguzi ndio uwe wa mwisho kusimamia kwani hawana kabisa credibility ya kusimamia uchaguzi wowote wa maana.