Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera awaonya wasimamizi wa uchaguzi kuwa wataumbuka

Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera awaonya wasimamizi wa uchaguzi kuwa wataumbuka

Ukibeba bomu ni lazima uwe makini lisikulipukie kabla hujawalipua wengine
 
Sijui inakuwaje kuwa NEC haiwezi hata kuwapa barua za wagombea walioshinda au kushindwa rufaa moja kwa moja kwa warufani au makatibu wakuu wa vyama vyao na badala yake wanazipeleka kule ambako figisu zilianzia.

Yaani Mahakama Kuu inatoa hukumu lakini anayetaarifiwa kuhusu hukumu hiyo ni Hakimu wa Wilaya ambae aliamua tofauti na Mahakama Kuu. Hili ni jambo lililpangwa na huenda ni msimamizi wa uchaguzi ndiye anayethibitisha majina ya watakaokuwa kwenye ballot paper!!

Nimeweka hapo mfano huo katika layman’s thinking level!!
 
Jambo la kushangaza sana hili. Siku zote alikuwa wapi kusema haya hadi leo hii zikiwa zimebaki siku 13? Hayajui majina ya hao wagombea na vyama vyao ili kuwasiliana nao kujua kama wamepewa barua husika? Na kama hawajapewa kuwachukulia hatua muafaka hao wahuni?

Huyu ni mtu anayetakiwa kujiandaa kwenda the Hague tu!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Jambo la kushangaza sana hili. Siku zote alikuwa wapi kusema haya hadi leo hii zikiwa zimebaki siku 13? Hayajui majina ya hao wagombea na vyama vyao ili kuwasiliana nao kujua kama wamepewa barua husika? Na kama hawajapewa kuwachukulia hatua muafaka hao wahuni?
Wajifunze kwa wenzao wa Kenya
 
Back
Top Bottom