Yaani unataka sisiem uipeleke mahakamani?! Mahakama ipi? Labda the Hague au ya mbinguni hapo sawa.Kwahiyo viapo vya nini?unashabikia lawlessness watu wakiingia bararani mtasema Wapinzani hawafuati sheria
Kula vyote tu. Si vitatoka kama mavi tu eventuallyKuna wakati inafika hatua mtu unashindwa kupembua Kati ya mavi ya mbuzi na karanga.
Huyo wa kushoto alikua nani??
MwiguluHuyo wa kushoto alikua nani??
Ilboru products hao ila bila bila tu. Zilikua akili za darasani kumbe.
Mwigulu namjua.Mwigulu
Ilikuwa wapi,imekuwa wapi siku zotehizo.Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Bw. Mahera amewaonya wasimamizi wa uchaguzi ambao wameficha barua za uteuzi za wagombea wa ubunge na udiwani ambao walishinda rufaa zao kwa sababu majina na picha zao zitakuwepo kwenye karatasi za wangombea halali wa uchaguzi.
Hivyo amewaangiza wasimamizi wa uchaguzi wakabidhi barua hizo kwa wagombea ili waendelee na kampeni kuomba ridhaa kwa wananchi kwa nafasi walizoomba.
Chanzo: Taarifa ya habari ITV saa mbili usiku.
Swali: Je, Tume ya Uchaguzi haina mamlaka kamili ya kuwadhibiti na kuwasimamia wasimamizi wa uchaguzi?
Na kinachomkwamisha nini yeye kuweka hadharani hayo majina yakafahamika ni nini?Jambo la kushangaza sana hili. Siku zote alikuwa wapi kusema haya hadi leo hii zikiwa zimebaki siku 13? Hayajui majina ya hao wagombea na vyama vyao ili kuwasiliana nao kujua kama wamepewa barua husika? Na kama hawajapewa kuwachukulia hatua muafaka hao wahuni?
Ebwana eeh, sio kila ahadi lazima itekelezwe. Kwa kusema hatutalipa visasi ilipaswa kuanzia hapo tuheshimiane. Lakini kwa vile dharau ndio kama zinaongezeka kwa sababu kuna ahadi ya kutolipa visasi, sasa badi maana VIPO.Mahera atafungwa baada ya uchaguzi , ni kweli kwamba tumesema hatutalipa kisasi lakini watu duni kama Mahera tutawashughulikia bila huruma
Hii ya kuengue mawakala au kutowaapisha sui Jambo dogo, Kama tume ikijitoa ufaham juu ya hili uchaguzi unaweza kuishia hapa ,kwa sababu vyama vya upinzani havitakubali ,tume mkijichanganya kwenye hili mwafaaa.Hii tume imevuruga sana uchaguzi...adhabu zote za maadili wanapewa wapinzani tu, hakuna mwanaccm hata mmoja aliyekutwa na adhabu.Tume imeengua wagombea kijinga kabisa.Na mgogoro mkubwa unakuja ni wa kuengua Mawakala wa upinzani vituoni.Vinara watakua mapoli's na wakurugenzi.
Unafikiri mkurugenzi kama yule wa moro mjini atakubali kuwaapisha Mawakala wa upinzani?Hii ya kuengue mawakala au kutowaapisha sui Jambo dogo ,Kama tume ikijitoa ufaham juu ya hili uchaguzi unaweza kuishia hapa ,kwa sababu vyama vya upinzani havitakubali ,tume mkijichanganya kwenye hili mwafaaa
Huyo wa kushoto ni simbachaweneHuyo wa kushoto alikua nani?
Ilboru products hao ila bila bila tu. Zilikua akili za darasani kumbe.
Ndo hapo Sasa matatizo yatakapo anzia pamoja na Safari ndefu tulipo toka mpaka tulipo Mambo yanaweza kuaribika uvumilivu huwa unamwisho ngoja tuoneUnafikiri mkurugenzi kama yule wa moro mjini atakubali kuwaapisha Mawakala wa upinzani?
Huyo mbwa hadi radi ni stahili yake, me nawashangaa wanaotengeza radi za jero hawa, sijui hawajui waielekeze wapi.Jambo la kushangaza sana hili. Siku zote alikuwa wapi kusema haya hadi leo hii zikiwa zimebaki siku 13? Hayajui majina ya hao wagombea na vyama vyao ili kuwasiliana nao kujua kama wamepewa barua husika? Na kama hawajapewa kuwachukulia hatua muafaka hao wahuni?