Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

zero kabisa, yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Amesema wapi kuwa anataka kuweka Ardhi rehani? Ndio mlivyoshikwa akili na makalio hadi NEC kujichanganya kiasi hiki.
AIBU!
 
Hii ni dalili ya wazi kuwa ndani ya kambi ya CCM na watawala wameshapanic sana, Magu keshalegea kulegea sana, Bashiru anawatisha tu wanaCCM, PolePole anavurumisha matusi, Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ameingia kupiga kampeni!!

Lissu kamatia hapo hapo, endelea kupiga spana tu.
watawala wameshapanic sana, Magu keshalegea kulegea sana, Bashiru anawatisha tu wanaCCM, PolePole anavurumisha matusi, Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ameingia kupiga kampeni
 
Huyu mkurugenzi mkuu wa NEC anaitisha vyombo vya habari na kusema eti watanzania wanataka mtu atakayelinda madini yao, atakayewajengea vituo vya afya, atakayewajengea mabarabara, atakayewaletea umeme. Kwani haya yanaihusu NEC?
Hii inanikumbusha mwaka flan simba ilipoenda kucheza misri na Zamaleki,baada ya warabu kubanwa,hatimae wakapata goli,refa akaruka kuonyesha ishara ya kufurahia simba kufungwa.
 
Mwanaume anaongea kauli moja tu. Tundu Lissu unaitwa kwenye kamati ya maadili kwa kufanya kosa moja mbili tatu. Huyu jamaa alivyomjinga kazidisha maneno hadi kila mtanzania anamuona mjinga.

Kuiongozi wa tume unaanza kutoa maelekezo ya mgombea aseme mafanikio ya barabara afya mara hatutaki mgombea atakayeuza madini hiyo n dhahiri amepewa maelekezo. Huyu jamaa kazidisha kuongea hivyo imepelekea kila mtanzania kutambua kuwa tume sio huru.
 
Sasa tutamfundisha ili ajue kuwa hajui mwaka huu!!! Analeta ukada wake wa Ccm hapa??? Sasa mwenyewe atakwandikia barua Magufuli wake kuacha kazi!
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!..
 
Mwanaume anaongea kauli moja tu. Tundu Lissu unaitwa kwenye kamati ya maadili kwa kufanya kosa moja mbili tatu. Huyu jamaa alivyomjinga kazidisha maneno hadi kila mtanzania anamuona mjinga. Kuiongozi wa tume unaanza kutoa maelekezo ya mgombea aseme mafanikio ya barabara afya mara hatutaki mgombea atakayeuza madini hiyo n dhahiri amepewa maelekezo. Huyu jamaa kazidisha kuongea hivyo imepelekea kila mtanzania kutambua kuwa tume sio huru.

Si unaona hio barua kaandikiwa kabisa, jukwaani wamepigwa wamepigika wamepoteana kabisa.
Tena ilifaa huyu kibaraka ndie amhoji Lisu Kama ajakimbia ofisi,tume waangalie wao ndio wanakwenda kuhojiwa na Lisu.
 
Hahaha wana muda kusikiliza kampeni za Lisu wanakosa muda kushughulikia rufaa za wagombea waliowakata.

Sasa wanataka na Lisu aongelee barabara na madaraja?!
Huo Moto wa Kanda ya ziwa si wa kitoto aise ngoja tuone kipindi cha pili Sasa, CCM wamepoteana na tume yao. Hoja za kitoto kabisa eti wataiba madini yao zero kabisa huyu kibraka ana elimu gani reasoning yake ipo down Sana.
 
Back
Top Bottom