Amesema wapi kuwa anataka kuweka Ardhi rehani? Ndio mlivyoshikwa akili na makalio hadi NEC kujichanganya kiasi hiki.zero kabisa, yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
watawala wameshapanic sana, Magu keshalegea kulegea sana, Bashiru anawatisha tu wanaCCM, PolePole anavurumisha matusi, Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ameingia kupiga kampeniHii ni dalili ya wazi kuwa ndani ya kambi ya CCM na watawala wameshapanic sana, Magu keshalegea kulegea sana, Bashiru anawatisha tu wanaCCM, PolePole anavurumisha matusi, Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ameingia kupiga kampeni!!
Lissu kamatia hapo hapo, endelea kupiga spana tu.
Hii inanikumbusha mwaka flan simba ilipoenda kucheza misri na Zamaleki,baada ya warabu kubanwa,hatimae wakapata goli,refa akaruka kuonyesha ishara ya kufurahia simba kufungwa.Huyu mkurugenzi mkuu wa NEC anaitisha vyombo vya habari na kusema eti watanzania wanataka mtu atakayelinda madini yao, atakayewajengea vituo vya afya, atakayewajengea mabarabara, atakayewaletea umeme. Kwani haya yanaihusu NEC?
Huyu mkurugenzi wa NEC ni mmojawapo wa wavuta bangi waliopewa jukumu la kusimamia uchaguzi mkuu huu wa 2020,ili wakilinda chama cha mapinduzi.Kwahiyo hiyo ndio kazi ya mkurugenzi wa uchaguzi?
Braza kama umeona vibweka vya LISSU lakini ukashindwa kuona vya mkurugenzi wa tume ya uchaguzi basi kazi ipo
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!..
Mwanaume anaongea kauli moja tu. Tundu Lissu unaitwa kwenye kamati ya maadili kwa kufanya kosa moja mbili tatu. Huyu jamaa alivyomjinga kazidisha maneno hadi kila mtanzania anamuona mjinga. Kuiongozi wa tume unaanza kutoa maelekezo ya mgombea aseme mafanikio ya barabara afya mara hatutaki mgombea atakayeuza madini hiyo n dhahiri amepewa maelekezo. Huyu jamaa kazidisha kuongea hivyo imepelekea kila mtanzania kutambua kuwa tume sio huru.
Wanashangaza sana. Wamezuia hotuba za Lissu kuoneshwa live ila wao ndo wa kwanza kuhabarisha umma juu ya hotuba za Lissu ππππHahaha wana muda kusikiliza kampeni za Lisu wanakosa muda kushughulikia rufaa za wagombea waliowakata.
Sasa wanataka na Lisu aongelee barabara na madaraja?!
Huyu siku si nyingi atakimbia ofisi yake NEC. Subiri tuAnasema anawadanganya wafanyakazi kivipi?. Kwa hiyo hataki kusikia Lissu akisema atafudisha utaratibu wa ongezeko la mshahara la kila mwaka?.
Huo Moto wa Kanda ya ziwa si wa kitoto aise ngoja tuone kipindi cha pili Sasa, CCM wamepoteana na tume yao. Hoja za kitoto kabisa eti wataiba madini yao zero kabisa huyu kibraka ana elimu gani reasoning yake ipo down Sana.Hahaha wana muda kusikiliza kampeni za Lisu wanakosa muda kushughulikia rufaa za wagombea waliowakata.
Sasa wanataka na Lisu aongelee barabara na madaraja?!
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!...
Sasa Lissu akienda ndo atajua Lissu nyoko. Ataenda na hii clip na atawapiga maswali kutoka kwenye hii hii clip hadi watapoteana ππππMkurugenzi anamsaidia bosi kupiga kampeni,sijui na yeye atahojiwa na nani kwa kuingilia mchakato wa kampeni