Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Kwanini mnaficha vifo vya korona, imekuwa siasa sasa.Wakuu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu KIA Eng Mukoma kafariki leo asubuhi.
Eng Mukoma alitotokea Dodoma kwa I majukumu alisumbuliwa na homa ,kikohozi na mafuta ya hapa na pale
RIP Eng uliupaisha uwanja wa ndege KIA uongozi wako utakumbukwa na kuenziwa
Hii ilikuwa haraka ya kuandikaAlisumbuliwa na mafuta gani?
Poleni sana bwashee!Ni kweli haswaaa,katika group letu la WhatsApp kila siku ni tanzia watu kuanzia wakati hadi sita kwa siku.
Point of correction, huyu hakuwa na cheo cha inspector
Vinyozi wangekuwa matajiri.Akili ni nywele!
We mjinga nn corona imeletwa na Magu....Magufuli anatupeleka wapi jamani ?Kwa akili ya kawaida tu huyu Magufuli hatufai. Jamani October 2020 tusikubali. Kura ziwe against Magufuli no matter what. CCM mcheze karata yenu pale akijivua urais na uenyekiti na mchague mwenyekiti mwingine. It is possible bwana. R.I.P marehemu.