Tetesi: Mkurugezi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa kwenye Sekretarieti ya Madili ya Umma

Tetesi: Mkurugezi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa kwenye Sekretarieti ya Madili ya Umma

Habari wana jf
Taarifa zilizonifikia kutoka Arusha zinahabarisha kuwa
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo katika Sekretarieti ya Maadili
Acha umbea dhidi ya mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge Mh Mrisho Gambo. Wananchi wa kawaida tunakuunga mkono mkuu wa mkoa.
 
Acha umbea dhidi ya mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge Mh Mrisho Gambo. Wananchi wa kawaida tunakuunga mkono mkuu wa mkoa.
Naomba unitaji angalao pasna shaka watetezi wa wanyonge wa nchi hii hata watano tu tanguliza hofu ya Mungu kwanza usilete hila za she.twani hapa zitashindwa na kulegea.
 
Only Tanzania,wakuu wa mikoa wanafanyakazi kwa sifa+siasa sio weledi.
 
Tatizo Mkuu wa Mkoa anatoa maagizo kinyume na sheria,taratibu za uendeshaji Jiji.
Tatizo ni nyie mnaolaumu kwa kuwa hamjui majukumu na wajibu wa Mkuu wa Mkoa.

Wengi wetu humu mara kwa mara ni lawama tele kwa kujifanya ni mabingwa wa kila fani na uongozi, japo wakipewa ujumbe wa chama chochote hawawezi.
 
Back
Top Bottom