Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Tatizo ni nyie mnaolaumu kwa kuwa hamjui majukumu na wajibu wa Mkuu wa Mkoa.
Wengi wetu humu mara kwa mara ni lawama tele kwa kujifanya ni mabingwa wa kila fani na uongozi, japo wakipewa ujumbe wa chama chochote hawawezi.
Majukumu na wajibu wa Mkuu wa Mkoa ni kupokea mwenge katika mkoa wake na lingine ni kuongoza vikao vya ulinzi na usalama katika mkoa wake na mwisho ni kumpokea Rais anapotembelea Mkoa wake.
Mkuu wa Mkoa anapojiingiza katika shughuli za utendaji wa Jiji ni kuingilia kazi ambazo hazimhusu.