Tetesi: Mkurugezi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa kwenye Sekretarieti ya Madili ya Umma

Tetesi: Mkurugezi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa kwenye Sekretarieti ya Madili ya Umma

Mbona jamaa yao riz moko katulia sana siku hizi? Konda na gambo sijui wamejula pilipili gani?
 
Ndio wanafanyia finishing ccm Arusha,aendelee na ucharuko wake
 
endeleeni na majungu yenu tu mh.Gambo ananyoosha njia. yeye hayupo arusha kusikiliza majungu yenu. anafanya kazi,na uzuri wa kazi anayofanya inaonekana wazi. acheni mambo ya fitina fitina na majungu huu sio wakati wake. time for business as usual has already gone!
 
Back
Top Bottom