Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Acha umbea dhidi ya mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge Mh Mrisho Gambo. Wananchi wa kawaida tunakuunga mkono mkuu wa mkoa.Habari wana jf
Taarifa zilizonifikia kutoka Arusha zinahabarisha kuwa
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo katika Sekretarieti ya Maadili
Hahaaa mtoto wacha kupiga mayowee waache waje waone wenyewe dhambi ya fitna hii inawamaliza.Habari wana jf
Taarifa zilizonifikia kutoka Arusha zinahabarisha kuwa
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo katika Sekretarieti ya Maadili
Acha umbea dhidi ya mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge Mh Mrisho Gambo. Wananchi wa kawaida tunakuunga mkono mkuu wa mkoa.
Naomba unitaji angalao pasna shaka watetezi wa wanyonge wa nchi hii hata watano tu tanguliza hofu ya Mungu kwanza usilete hila za she.twani hapa zitashindwa na kulegea.Acha umbea dhidi ya mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge Mh Mrisho Gambo. Wananchi wa kawaida tunakuunga mkono mkuu wa mkoa.
Hawezi kukuelewa huyo mtafsirie kidogo?Lumpen proletariat
Siku hizi unajitambuaMrisho Gambo ana kiherehere utafikiri kuku anaetotoa
Ila hajamzidi Kondas wa Dar. Halafu wote ni mabest wa Mtoto wa Mfalme aliepita.Mrisho Gambo ana kiherehere utafikiri kuku anaetotoa
Hivi ulishaachana naye?Mrisho Gambo ana kiherehere utafikiri kuku anaetotoa
Tatizo ni nyie mnaolaumu kwa kuwa hamjui majukumu na wajibu wa Mkuu wa Mkoa.Tatizo Mkuu wa Mkoa anatoa maagizo kinyume na sheria,taratibu za uendeshaji Jiji.