Tatizo ni nyie mnaolaumu kwa kuwa hamjui majukumu na wajibu wa Mkuu wa Mkoa.
Wengi wetu humu mara kwa mara ni lawama tele kwa kujifanya ni mabingwa wa kila fani na uongozi, japo wakipewa ujumbe wa chama chochote hawawezi.
In short mku wa mkoa hawana kazi zaidi ya ku intimidate raia na kulinda ccm after all hivo ni vyeo vya serial I ya kikoloni designated particularly to control their subjectsTatizo ni nyie mnaolaumu kwa kuwa hamjui majukumu na wajibu wa Mkuu wa Mkoa.
Wengi wetu humu mara kwa mara ni lawama tele kwa kujifanya ni mabingwa wa kila fani na uongozi, japo wakipewa ujumbe wa chama
chochote hawawezi.
Kama jiji linafanya mambo yasiyofaa na kulalamikiwa na kusimamiwa na madiwani wenye tamaa na visasi vya kulipiza visasi yeye asiingilie kati sio. Yeye ni mwakilishi wa Raisi katika mkoa. Lawama na vilio vilivyokua hapo stendi ndigo na maeneo mengine aache tu kwa kua jiji linasiamamiwa na chadema. Acha hizo.Majukumu na wajibu wa Mkuu wa Mkoa ni kupokea mwenge katika mkoa wake na lingine ni kuongoza vikao vya ulinzi na usalama katika mkoa wake na mwisho ni kumpokea Rais anapotembelea Mkoa wake.
Mkuu wa Mkoa anapojiingiza katika shughuli za utendaji wa Jiji ni kuingilia kazi ambazo hazimhusu.
Hawezi kukuelewa huyo mtafsirie kidogo?
Shauri yako nawewe Mrisho Gambo atakutukana kama alivyo mtukana mwanasheria wa Korogwe, au hujui kwamba jamaa ana matusi mabaya sanaMrisho Gambo ana kiherehere utafikiri kuku anaetotoa
Kwa sababu gani?Habari wana jf
Taarifa zilizonifikia kutoka Arusha zinahabarisha kuwa
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo katika Sekretarieti ya Maadili
Habari wana jf
Taarifa zilizonifikia kutoka Arusha zinahabarisha kuwa
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo katika Sekretarieti ya Maadili
Tatizo ni nyie mnaolaumu kwa kuwa hamjui majukumu na wajibu wa Mkuu wa Mkoa.
Wengi wetu humu mara kwa mara ni lawama tele kwa kujifanya ni mabingwa wa kila fani na uongozi, japo wakipewa ujumbe wa chama chochote hawawezi.
You are right.Mkurugenzi hawezi wewe? Hawezi kuthubutu. Labda sema Halmashauri yaani Baraza la Madiwani ndiyo linaweza kumshtaki RC.
Mkurugenzi hawezi wewe? Hawezi kuthubutu. Labda sema Halmashauri yaani Baraza la Madiwani ndiyo linaweza kumshtaki RC.