Tetesi: Mkurugezi wa Jiji la Arusha kumburuza Mkuu wa Mkoa kwenye Sekretarieti ya Madili ya Umma

Mrisho Gambo ana kiherehere utafikiri kuku anaetotoa

Kiherehere kivip? Nyie ndio mliozoea mambo ya ovyo ovyo. Mambo ya mradi siku zipite. Mnatia kinyaa sana watu kama nyie. Mwacheni mheshimiwa Gambo afanye kazi zake
 
Tatizo Mkuu wa Mkoa anatoa maagizo kinyume na sheria,taratibu za uendeshaji Jiji.

Maagizo yapi na yapi aliyatoa mkuu wa mkoa yalikuwa kinyume na sheria na taratibu za uendeshaji jiji? Au unajiropokea tu?
 
Naomba unitaji angalao pasna shaka watetezi wa wanyonge wa nchi hii hata watano tu tanguliza hofu ya Mungu kwanza usilete hila za she.twani hapa zitashindwa na kulegea.

LOWASSA,Rostam, Sumaye,Mbowe na Laurenc Masha au sio mkuu??
 

Unaweza kutueleza mambo yasiyofaa au na wewe umeingia mzima mzima bila tafakari yanayosemwa na madiwani na tuhuma anazotoa Mkuu wa Mkoa !.

Ikiwa umeweza kuingia JF ukauliza maswali kimeshinda nini kujua pumba ni zipi na mambo ya maana ni yapi ?.
 
Mkuu wa mkoa ndio muwakilishi wa moja kwa moja wa Rais katika mkoa husika. Akiona mambo hayaendi hawezi kukaa kimya. Safi sana mheshimiwa Gambo. Piga kazi

 
Maagizo yapi na yapi aliyatoa mkuu wa mkoa yalikuwa kinyume na sheria na taratibu za uendeshaji jiji? Au unajiropokea tu?

Ngoja nikumegeea kiduchu.

Posho za madiwani na staili zao zote zinasimamiwa na nani ?.Ukiweza kunijibu hili swali dogo labda nitaweza kujadiliana na wewe.
 
Dah, hawa jamaa kiboko. Kumbe makelele yote haya suala ni posho. Dah. Ndo matatzo ya kugombea uongozi wa kisiasa lengo kubwa likiwa kunufaika kwa kupata hela. Hawa jamaa wanatia aibu sana.


 
Mkuu wa Mkoa toka lini kawa Mbunge wa kugawa mafungu au matumizi ya serekali.
 
Acha umbea dhidi ya mchapa kazi na mtetezi wa wanyonge Mh Mrisho Gambo. Wananchi wa kawaida tunakuunga mkono mkuu wa mkoa.
hebu kwenda huko na slogan za muflisi wa kisiasa. eti mtetezi wa wanyonge! huku kujipendekeza ni kerooo
 
Aibu na iwe kwenu kama kukesha kote kule na makelele yote ya kipindi cha uchaguzi mpaka sasa kumbe lengo lilikuwa kulilia posho. Acheni mambo ya ajabu, tafuteni kazi za kudumu na za maana hamtokaa mtake kutoana macho na watu kisa posho. Mnatukwaza ati

Ngoja nikumegeea kiduchu.

Posho za madiwani na staili zao zote zinasimamiwa na nani ?.Ukiweza kunijibu hili swali dogo labda nitaweza kujadiliana na wewe.
 
hebu kwenda huko na slogan za muflisi wa kisiasa. eti mtetezi wa wanyonge! huku kujipendekeza ni kerooo

Kwa hiyo wewe unawashobokoea walilia posho? Wanasiasa wa kibongo wanatutia aibu na sijui hii aibu itaisha lini.
 

Ndio maana nikakwambia unabishana na jambo usilolijua.

Wabunge wanalipwa posho na stahili nyingine nyingi hakuna kelele,mawaziri nao wanalipwa mifedha kibao hakuna kelele kisa wote wanatoka chama kileeeee.

Mkakati uliopo ni kuhakikisha sehemu walizoshinda wapinzani migogoro isiyokuwa na kichwaa wala miguu inapandikizwa.
 
Migambo inaruka na kukanyagana inaruka kinoma...


By Juma Nature
 
Majukumu yake ni pamoja na kutotenda kwa kufuata itikadi za vyama~
 

Ni kweli mkuu, umemaliza
 
Naona Lema ameanza kuchochea Moto kati ya Mkurugenzi Na mkuu wa Mkoa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…