endeleeni na majungu yenu tu mh.Gambo ananyoosha njia. yeye hayupo arusha kusikiliza majungu yenu. anafanya kazi,na uzuri wa kazi anayofanya inaonekana wazi. acheni mambo ya fitina fitina na majungu huu sio wakati wake. time for business as usual has already gone!