Pre GE2025 Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huo ni upuuzi kama upuuzi mwingine,tumeshindwa kumalizia mchakato wa katiba mpya na tumeshindwa kuunda tume huru ya uchaguzi alafu serikali inajifanya kuitisha mikutano ya Baraza la vyama Ili kitokee nini!
 
Watu mbalimbali wanafuatilia uzi huu. Unaweza kutoa maoni yako yenye kujenga.
 
Mheshimiwa Jenista Mhagama. Akisisitiza kuwa maoni yote tanayotolewa yaweze kurekodiwa ili yaweze kufuatiliwa.
 
Watu wengi wamekuja kutoa maoni yao

Mheshimiwa Jenista Mhagama. Akisisitiza kuwa maoni yote tanayotolewa yaweze kurekodiwa ili yaweze kufuatiliwa.
Mmmmm huyo ndio kigeugeu number 1....haaminiki hao wanafaidika na kayiba mbovu hii .....najua sana delays zao kusogeza miaka ipite.......ufahamu miaka mingapi tumeambiwa ? Ujuhaaa
 
Matokeo ya mkutano huu ni kutokana na mkutano uliopita wa vyama vya siasa. Kwahiyo mambo yanachukuliwa kwa uzito sana. Ni muhimu sasa kutoa maoni yanayojenga.
 
Huo ni upuuzi kama upuuzi mwingine,tumeshindwa kumalizia mchakato wa katiba mpya na tumeshindwa kuunda tume huru ya uchaguzi alafu serikali inajifanya kuitisha mikutano ya Baraza la vyama Ili kitokee nini!
Mkuu butron, please try to be positive, mchakato wa katiba, kimeundwa kikosi kazi, sheria ya kuunda Tume huru ya uchaguzi umeisha somwa kwa mara ya kwanza leo ndio tumeitwa kutoa maoni.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…