Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
- #21
Viongozi wa baraza la vyama vya siasa wote wapo hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni mamluki waliohongwa vijisenti ili kuzubaisha watu kwa lengo la kuchelewesha upatikanaji wa Katiba Mpya itokanayo na Mawazo, Maoni na Fikra za wananchi walio wengi zaidi.
Umaskini wetu unatokana na matumizi mabaya ya pesa kama haya Bila kuwa na vipaumbele.
Wanabodi,
Niko ndani ya ukumbi wa JNICC kwenye Mkutano huu muhimu Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024 View attachment 2855370
Mkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!,
Ila to be honest, nilikuwa nina wasiwasi na baadhi promo za Mkutano huu, kama baadhi ya washiriki hawa
View attachment 2855372View attachment 2855373View attachment 2855374
View attachment 2855375 japo sijabaatika kumuona yeyote kati ya hao, ila Chadema wamewakilishwa na NKM Zanzibar, Kamanda Salum Mwalimu, ambaye yuko in full regalia ya combat.
Mkutano umeanza, fuatilia live Mubashara kupitia Wasafi
View: https://www.youtube.com/live/WMNZqOQv-jo?si=gbOqXz5I22MQuyka
Karibuni.
Paskali
Hawa wote hawa ni Mamluki wenu, nani ambaye hafahamu Jambo hili?Hizi hapa injini za vyama vya siasa
View attachment 2860668
Watu mbalimbali wanafuatilia uzi huu. Unaweza kutoa maoni yako yenye kujenga.Huo ni upuuzi kama upuuzi mwingine,tumeshindwa kumalizia mchakato wa katiba mpya na tumeshindwa kuunda tume huru ya uchaguzi alafu serikali inajifanya kuitisha mikutano ya Baraza la vyama Ili kitokee nini!
Mmmmm huyo ndio kigeugeu number 1....haaminiki hao wanafaidika na kayiba mbovu hii .....najua sana delays zao kusogeza miaka ipite.......ufahamu miaka mingapi tumeambiwa ? UjuhaaaMheshimiwa Jenista Mhagama. Akisisitiza kuwa maoni yote tanayotolewa yaweze kurekodiwa ili yaweze kufuatiliwa.
Hana historia ya kupiga kaziJenista Joakim Mhagama yupo anapiga kazi
Mkuu butron, please try to be positive, mchakato wa katiba, kimeundwa kikosi kazi, sheria ya kuunda Tume huru ya uchaguzi umeisha somwa kwa mara ya kwanza leo ndio tumeitwa kutoa maoni.Huo ni upuuzi kama upuuzi mwingine,tumeshindwa kumalizia mchakato wa katiba mpya na tumeshindwa kuunda tume huru ya uchaguzi alafu serikali inajifanya kuitisha mikutano ya Baraza la vyama Ili kitokee nini!