Pre GE2025 Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maoni yako ni muhimu sana. Maana fursa hii ni muhimu sana, umeandaliwa na baraza la siasa. Ni muhimu sana kushirki kwa manufaa ya Taifa letu la Tanzania.

Tangu CCM iharibu mchakato wa Katiba Mpya enzi za Mzee Warioba, nawaona wanafiki na wajinga. Walaaniwe milele.
 
Watu wanasubiri kuanza kutoa maoni yao.
 
Watu wote wanasubiri kusikia na kutoa maoni yao
 

Hakuna kitu, 4R za kinafiki. Unadai 4R wakati unawalinda wabunge wasiokuwa na chama?. That's bullshit. Hicho kikao mmeitisha kuhalalisha ujinga tu.
 
Mbona unatumia muda mwingi kuisema Chadema na "promo" ya Lissu bila kuwa wazi wasiwasi wako ni nini.
 
Ukifuatilia kwa umakini sana kuhusu 4R utagundua kuwa tupo kwenye mwanzo mpya. Sasa basi ni kujikita katika kujenga nchi yetu. Kwa kutumia falsafa ya 4R tutajenga nchi kwenye msingi imara.

Mwanzo upi mpya? Ebu elezea.
 
Bakari Machumi ni Mkurugenzi mtendaji wa Mwananchi Communication.
 

Tunataka vitendo sio maneno na mikutano. Watu wameanza kampeni mapema msajili yupo kimya. Halafu mtu anadai Kuna 4R.
 
Wanajopo ni
1. Ndugu Doyo Hassani Doyo
2. Mama Gertrude Mongella
3. Salim Mwalimu
4. Steven Wasira
5. Ado Shaibu
 
Mjadala unaoanza sasa ni kuhus 4R za Mheshimiwa Rais Samia.
 
Je CHADEMA itashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa?
Uchaguzi wa serikali za mitaa unaoandaliwa na kusimamiwa na mgombea mbabe, ndiyo sababu watanzania wamekuwa hawataki kushiriki kiasi cha serikali kulazimisha kwa kuongeza muda!
 
Kitika 4R nguzo kuu ya hizo R ni Reforms
 
Ni nini fursa ya 4R za Falsafa ya Rais Samia Suluhu Hasani?
 
Mgeni rasmi anasema ni muhimu sana kuwa jasiri katika kutoa maoni na zaidi kuwa jasiri katika kusikiliza.
Halafu tuwe na utamaduni wa kuaminiana.

Kuiamini CCM ni sawa na ukichaa
 
Katika 4R je wachokoza mada wanamwelewaje Mh. Rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…