Pre GE2025 Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

Pre GE2025 Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maoni yako ni muhimu sana. Maana fursa hii ni muhimu sana, umeandaliwa na baraza la siasa. Ni muhimu sana kushirki kwa manufaa ya Taifa letu la Tanzania.

Tangu CCM iharibu mchakato wa Katiba Mpya enzi za Mzee Warioba, nawaona wanafiki na wajinga. Walaaniwe milele.
 
Watu wanasubiri kuanza kutoa maoni yao.
1704272008563.png
 
Watu wote wanasubiri kusikia na kutoa maoni yao
1704272072843.png
 
Mfumo huu ni muhimu sana maana unajenge maridhiano na ustahimilivu. Na tukiweza kufanya hivto tutakuwa mbali sana.

4R zinatumika kama mwongozo wa kujenga siasa na nchi safi.

Vyama vya siasa vinatakiwa kwenda na utaratibu huu ili kila mmoja aje kufurahia falsafa hii ya 4R.

Hakuna kitu, 4R za kinafiki. Unadai 4R wakati unawalinda wabunge wasiokuwa na chama?. That's bullshit. Hicho kikao mmeitisha kuhalalisha ujinga tu.
 
Wanabodi,
Niko ndani ya ukumbi wa JNICC kwenye Mkutano huu muhimu Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024 View attachment 2855370

Mkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!,

Ila to be honest, nilikuwa nina wasiwasi na baadhi promo za Mkutano huu, kama baadhi ya washiriki hawa
View attachment 2855372View attachment 2855373View attachment 2855374
View attachment 2855375 japo sijabaatika kumuona yeyote kati ya hao, ila Chadema wamewakilishwa na Makamo Mwenyekiti wa Chadema na na NKM wa Chadema, Kamanda Salum Mwalimu, ambaye yuko in full regalia ya combat.

Mkutano umeanza, fuatilia live Mubashara kupitia Wasafi
View: https://www.youtube.com/live/WMNZqOQv-jo?si=gbOqXz5I22MQuyka

Kwa Tanzania Bara, ukisema upinzani unamaanisha Chadema!, huu ni mkutano wa 3 wa Baraza la Vyama vya Siasa, mikutano miwili iliyotangulia, Chadema walisusa. Mkutano wa kwanza pale Dodoma, mimi niliwaomba wasisuse Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.
Chadema waligomea wito wangu ila hapa walikuwa na justified reason ya kususa, Mwenyekiti wao alikuwa korokoroni akikabiliwa na kesi ya ugaidi.

Kesi ya Mbowe ikafutwa, Mbowe akaachiwa, CCM wakafanya mazungumzo ya maridhiano na Chadema, wakafikia makubaliano ya kugawana nusu mkate. Lakini mkutano wa pili wa Baraza la Vyama vya Siasa, bado Chadema walisusa!.

Hivyo mkutano huu wa 3 ulipoitishwa, nikaandika tena kuwasihi Chadema wasisuse Baada ya maridhiano kuna haja kuendele kususa na kuzira? Njooni mezani, tukae pamoja, tuwe wamoja, twende pamoja!

This time ombi hili limezaa matunda, Chadema wameshiriki kikamilifu, hivyo ni faraja kubwa kwa wapenda demokrasia.

Karibuni.

Paskali

Mbona unatumia muda mwingi kuisema Chadema na "promo" ya Lissu bila kuwa wazi wasiwasi wako ni nini.
 
Ukifuatilia kwa umakini sana kuhusu 4R utagundua kuwa tupo kwenye mwanzo mpya. Sasa basi ni kujikita katika kujenga nchi yetu. Kwa kutumia falsafa ya 4R tutajenga nchi kwenye msingi imara.

Mwanzo upi mpya? Ebu elezea.
 
Bakari Machumi ni Mkurugenzi mtendaji wa Mwananchi Communication.
 
Mgeni Rasmi anawashukuru Baraza la Vyama vya siasa kwa kuandaa mkutano huu. Anasema wengine wanaweza wakachukuliwa huu utamaduni wa kushirikishana kama jambo la kawaida. Kama watanzania tunatakiwa kushukuru na kuthamini utamaduni huu. Hii ni kutokana na historia yetu.

Tunataka vitendo sio maneno na mikutano. Watu wameanza kampeni mapema msajili yupo kimya. Halafu mtu anadai Kuna 4R.
 
Wanajopo ni
1. Ndugu Doyo Hassani Doyo
2. Mama Gertrude Mongella
3. Salim Mwalimu
4. Steven Wasira
5. Ado Shaibu
 
Mjadala unaoanza sasa ni kuhus 4R za Mheshimiwa Rais Samia.
 
Je CHADEMA itashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa?
Uchaguzi wa serikali za mitaa unaoandaliwa na kusimamiwa na mgombea mbabe, ndiyo sababu watanzania wamekuwa hawataki kushiriki kiasi cha serikali kulazimisha kwa kuongeza muda!
 
Kitika 4R nguzo kuu ya hizo R ni Reforms
 
Ni nini fursa ya 4R za Falsafa ya Rais Samia Suluhu Hasani?
 
Katika 4R je wachokoza mada wanamwelewaje Mh. Rais?
 
Back
Top Bottom