Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza


Hakuna aliyemkataza kugombea, wala kugombea siyo kosa na yeye siyo wa kwanza. Nikukumbushe wakati wa Mkapa alikuwepo Nasi Mnasa -MNEK, wakati wa Kikwete alikuwepo Shibuda. Tatizo ni kuanza harakati za kugombea kabla ya wakati, naomba pia usipotoshe hii ni kwa ngazi zote kuanzia mtaa, vitongoji, vijiji, shehia, jimbo na Urais wakati na kabla ya JPM.

Pia kama wewe ni mwanazuoni naomba kukujulisha kuwa kuna kitu kinaitwa "organization culture" , Membe alikiuka utamaduni wa CCM ,na alikuwa na lengo la ku sabotage Serikali iliyopo madarakani. Kama kawaida pokeeni kapi hilo mpitisheni tukutane Oktoba 2020.
 
CCM ni wengi

Kwa takwimu zipi? Milioni 5 na ushee! Maana takwimu ninazo zifahamu mimi zinaiongelea Tanzania yenye Watanzania wengi tusio wanachacma wa chama chochote kile cha siasa.
 
Rais Magufuli Mwenyekiti wa CCM anawakaribisha viongozi wa kidini kuombea mkutano huu.
 
Rais Magufuli anaeleza yaliyofanywa chini ya CCM
 
Anataja Sekta mbalimbali na mafanikio yake
 
Magufuli hatosema amefanya yeye bali tumefanya sote
 
Weee asingeweza kuthubutu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…