Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Njoo huku achana na siasaMkapa anaonekana ana mawazo sana
Magufuli aafuraha sanaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo huku achana na siasaMkapa anaonekana ana mawazo sana
Magufuli aafuraha sanaaaaaaa
Naona mmejazana hapo ukumbini kama hakuna Corona vile.
Kwani wewe unakorona?Naona mmejazana hapo ukumbini kama hakuna Corona vile.
NdioKwani wewe unakorona?
Mngemruhusu na Membe naye achukue fomu ya kupitishwa kugombea huo Urais ndani ya chama chenu halafu matokeo ya kura nayo yangehesabiwa kwa uwazi kama yale ya Urais wa Zanzibar ningewasifu sana!
Nina imani ile jana, Mwenyekiti naye angejigeuza kuwa Jecha wa pili kwa aina ya matokeo ambayo angeyapata kutoka kwa wale Wajumbe waliokuwa wakimshangilia kinafiki.
CCM ni wengi
Cheyo,Mrema na Lipumba ndani. Wameonyesha uzalendo.Wageni kutoka ndani na nje ya Tanzania wanatambulishwa
Show zao hakuna kwendaAsilimia 98 ya wanamziki wa kisazi kipya wameimba nyimbo kuhusu CCM na Magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app by My phone
[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Chama DolaCCM ni wengi
Mbowe angekuwepo sema ndio hivyo tu ajali haina KingaCheyo,Mrema na Lipumba ndani. Wameonyesha uzalendo.
Kwani hajaamua kuanza kutembea?Mbowe angekuwepo sema ndio hivyo tu ajali haina Kinga
Weee asingeweza kuthubutu!!Mngemruhusu na Membe naye achukue fomu ya kupitishwa kugombea huo Urais ndani ya chama chenu halafu matokeo ya kura nayo yangehesabiwa kwa uwazi kama yale ya Urais wa Zanzibar ningewasifu sana!
Nina imani ile jana, Mwenyekiti naye angejigeuza kuwa Jecha wa pili kwa aina ya matokeo ambayo angeyapata kutoka kwa wale Wajumbe waliokuwa wakimshangilia kinafiki.
Rais Magufuli anaeleza yaliyofanywa chini ya CCM
Kabrasha linajielezeAmeyataja vile viwanda 100@mkoa?