Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Bahati nzuri mmesha jua kile kitu mtu wenu ana penda. Msifa, hata kama kuna walio sema hapana mtazifukia ili mpend sifa afurahi. Kwa mtazamo wangu hakiimarishi chama bali mna kandamiza demokrasia kumfurahisha mtu.
Ndio maana ana chomekea ajenda ambao hazipo kwenye muhtasari wa kikao na mna kaa kimya.. This is very Bad!!!
 
Yani hapo inatakiwa lipigwe Bomu la Nagasaki na heroshima ndo wangeelewa hawapendwi.

Poleni walimu,poleni watumishi
 
Hapa Namtarajia Makame Mbarawa kupata Cheo Juu ya Hussein Mwinyi.
 
Bado nashangaa lipumba, mrema wanatafuta nini kwenye mkutano wa ccm, mwenye majibu anisaidie

Makubaliano ni kuwa lazima wahudhurie mikutano na shughuli zote za ccm, hasa alipo Magufuli ili kumpa promo, ili wapate fedha za kampeni, na nafasi kadhaa za upendeleo. Hujaona wakati Mrema anaongea Magufuli alisisitiza sana mic yake iwe na sauti? Hiyo ndio kazi ya mchekeshaji wa mfalme.
 
f@ck! ndio kusema kachero aliyebobea alitudanganya kuwa ana watu wake kwenye lichama lake la zamani?
 
Huyu camera man sijui alipewa hela na Kesesela...!! ?
 
Mimi nahisi kila mmoja anajishtukia..anahisi akiweka HAPANA atajulikana tu, awamu hii sio mchezo Mkuu.
Kwanini hutaki kuamini kuwa wote wamempa kwa hiyari yao.
 
Naona waziri mkuu anagombezwa hapa.afanye haraka.

Kumbe mkuu uliona ile. Kile ni kitendo cha dharua sana kwa mtu mnayeheshimiana. Ukiona mtu anakaripiwa vile mbele ya hadhara, ujue huwa anapewa lugha nyingine nyingi za kejeli off camera. Na yote hiyo huchangiwa na mtu kuendekeza nidhamu za woga.
 
hongera sana mhe. Rais JPM kwa kupitshwa kwa 100%
hakika hiyo ni dalili kuwa ktk uchaguzi mkuu wa october 2020 utashinda kwa 95%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…