DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Huyo mzee Mpumbavu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu.Hii Nyota Kali ya mh.Magufuli kamwe huwezi kuipata KWA KUFUATA TARATIBU ZA ELIMU ya UNAJIMU.........
Hii NYOTA Kali ya mh.Magufuli kamwe huwezi kuipata KWA KULALA MAKABURINI,KUTOA WATU MAKAFARA na hata kumweka mwanao msukule na kizuu.....
Hii NYOTA ya magufuli DIRECT ni kutoka kwa Mwenyezi MUNGU Mkuu aliyewaumba BABA NA MAMA ZETU.......
Braavoo JPM
Safiii.Sebelagi minze akusata magulu.Hongera Bob Haisa kwa wimbo mzuri. Umenikumbusha Somanda.
Nilisha kwambia hii hoja ya udikteta kwasasa haina mashiko mkuu achana nayo tu.
Hebu tuachane na hayo kwanza mkuu msikilize mh hapo kipenzi cha watu.
Kuna jamaa anasema eti wajumbe wa Zanzibar walikuwa 35, na wa bara walikuwa 129, huku Mwinyi akipata 129. Je hiyo ni kuwa wazanzibari wanachaguliwa kiongozi na Tanganyika?
Hizo laana za kudharau wazee mkuu ni mbaya kuwa nazo makini.
wataona vp na hawana macho ya kuonaHayo ni umbea tu kama kuna mtu huko CCM atalalamika ni sawa lakini kama wao hawajaona shida wewe pilipili ya nini?
Demokrasia ni pamoja na kuamini uhuru unaompa mtu kukuwakilisha ukiwa umemuamini kwa kila jambo.
nimesha toka ila nahisi ni utvChaneli.gani?
Sia
Siasa si uadui km mnavyotaka iwe.....
Mrema alikuwa CCM....
Lipumba naye......
Lakini pia mkutano mkuu wa CCM unawaalika wanasiasa wa upinzani.
Chukua hiyo.
UTOPOLO wao uishie huko huko kwenye UTANI wasije kuleta kwenye uhalisia!!! Nyerere kuanzisha miaka 10 sio mjinga,Mwinyi,JK,BWM sio wajinga maana hawajaongeza muda!!Nchi yetu inaendeshwa kwa Katiba lazima tuienzi, , tusiingilie lakini tunaweza kuiahirisha kwa muda mfupi ili kumpa Rais wetu kipindi kingine kimoja cha asante. Hichi ni asante na kisha tuendelee vile vile mpaka dunia iishe. Hiki ni maalum kwasababu ana mengi nchi itayakosa.
Rais Magufuli akimjibu Mwinyi kuhusu kuongezewa kipindi kingine
Mbona wewe (Mzee Mwinyi) hukuongeza muda baada ya kumaliza? Au mzee Mkapa hakuongeza? au Mzee Kikwete hakuongeza? Ila nimekuelewa Mzee Mwinyi wewe ni mtani wangu.
Wengine wametoka wanaliaHabari wakuu,
Ninekuja mtembelea jamaa yangu hapa nimemkuta anafuatilia mkutano wa CCM na zoezi la upigaji kura liko linafanyika huko. Kilichonichekesha katika zoezi hili ni:
1. Hakuna usiri
2. Wajumbe wanapigiana kura (nimeona mmoja anapiga kwa niaba ya mwenzake)
3. Maandalizi hayakuwa vizuri (kuna uchache wa peni ) naona wana azimana tu, hawajui hata walienda fanya nini.
4. Naona watu wanatumia kujitangaza, baada ya kupiga kura wanajionesha ili teuzi zipite kwao.
5. Ukusanyaji wa kura ni vichekesho
kifupi, sijaona cha maana katika hili zoezi; liko kiswahili swahili sana.
Usikute ni weweKonyagi ya nini tena jamani ,mwenyekiti wetu anaumia
Bado nashangaa lipumba, mrema wanatafuta nini kwenye mkutano wa ccm, mwenye majibu anisaidie
😛😛😛😛😛😛😛😛😛
mbona unajitekenya we si ndo umesema zoezi lipo kiswahil swahilihili lenyewe la kizungu, bahati mbaya ni wazung wa mwaka 1345 ndo walikuwa wanafanya haya.
kama umewaza hili ni zoezi letu waafrika hapana ili la wazungu wa kale.
Mnasema sijui Sultan.......
Hivi Sultan ni Nani Kati ya Dr Hussein Mwinyi na WEWE...WEWE...WEWE unayeshiriki Uchaguzi kila siku miaka nenda rudi.😂😂😂😂😂😂