Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Wanafuata mlo , njaa inawahangaisha

Wewe tu Muuza viungo VYA pilau hapo darajani Zanzibar huna njaa,sembuse Profesa?!!sembuse mstaafu wa mfumo bwana Mrema?!!

Kweli waso haya na mji wenu😂😂😂😂😂😂
 
Mama Samia ni mgombea mweza kwa Mara nyingine tena, Hongera JPM.
 
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli amemchagua Mama Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM
======

MAGUFULI: Sikuujua vizuri uchapakazi wake wakati ule lakini mama huyu, nasema kwa dhati bila unafiki, ni mchapakazi, ana heshima, kila nikimtuma anaenda lakini hata nikimtuma anaenda. Unajua sisi wasukuma tunapenda weupe, unapokuja msaidizi wako ni mweupe, hata kama ulikuwa na stress inapotea.

Kwa hio nimeamua tena, mheshimiwa Samia ndio awe mgombea mwenza katika kipindi cha miaka mitano.

Wewe tu Muuza viungo VYA pilau hapo darajani Zanzibar huna njaa,sembuse Profesa?!!sembuse mstaafu wa mfumo bwana Mrema?!!

Kweli waso haya na mji wenu😂😂😂😂😂😂

Si ndio akakubali kufuata maagizo ya kanisa katoliki au vipi ??
 
watu tupo Carol Road tunafatilia kama Norwich watanusurika kushuka daraja.
 
Nimekutahadharisha mkuu kuheshimu wazee ni Jambo la muhimu sana.

Mkuu inaonekana kwako ww wazee ni wale wa ccm tu. Sijawahi kuona ukionya wazee wengine wakipewa maneno yao. Ukweli huwa na nguvu zake, ndivyo ulivyo.
 
U
Kwani uliikatazwa kuchukuwa form ?? Mwanachama mwenzenu alijaribu kwenda kuchukuwa Form Kisiwandui alichezea kichapo cha mbwa koko mpaka leo yuko hospitali hajitambui wiki ya pili sasa

Umeanza maneno yetu ya vibaraza vya kahawa na halua za lozi eee?

Dr Hussein Mwinyi amejitokeza peke Yake ktka mchakato?!!
 
Mkuu inaonekana kwako ww wazee ni wale wa ccm tu. Sijawahi kuona ukionya wazee wengine wakipewa maneno yao. Ukweli huwa na nguvu zake, ndivyo ulivyo.
Kama yupi niliyewahi kumdharau mkuu kwa namna yoyote ile.
 
Si ndio akakubali kufuata maagizo ya kanisa katoliki au vipi ??

Abui Gavana huendi vema na mtiririko,usheshiba urojo jua Kali lote hili?
Wewe muislam,mm muislam,unapata wapi nguvu za kuisemea imani ya watu ambayo haituhusu Wala kuuhusu mjadala?!!!

Kwi kwi kwi kwi looh
 
HAHAHAHHAAAAA , JUMBE BROWN , IP address haidanganyi , hii sio CCM
 
Back
Top Bottom