Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hayo kawaambie wakristo wenzako kanisani
Abui Gavana unajifunua jinsi ulivyo mtu wa chuki na kila aliye na hoja TOFAUTI nawe....
Mambo ya DINI yanaingiaje hapa?!!!!
Nasemaje "attaqwa hahuna"
Nasemaje "kullil haqu Lau kana mura"
Nasemaje "innal batwila kana zahuka".....
Allah,raqib na Attid ni mashuhuda wa Al Qalbu yangu....
Endelea na ARGUMENTUM AD HOMINEM....