Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Vyovyote vile Uchaguzi Mkuu UTAFANYIKA na Mgombea Urais wa CCM ni Rais Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza ni Dk. Emmanuel Nchimbi.
 
Wagombea wa nafasi ya ubunge ni wengi muda wa kuwajadili na kuwachuja ni mdogo ndio maana wamesogeza mbele acha kuleta taharuki. Ufafanuzi ulikwisha tolewa sababu ya kuchelewa. Kwa taarifa tu kuna Jimbo waliochukuwa form na kurudisha wanafika mpaka 18 ona?
 
Kwamba kuna mkutano mkuu utafanyika tena?
 
AKwani SATIVA anasema je
 
Tumeshatoa sababu ya kuahirishwa na hakuna kitakachoharibika. Uchaguzi uko palepale.
Oktoba kila mtanzania ikiwa ni pamoja na wewe tutatiki( √) kwa nama.
Tunajadil jambo lisilokuwa la kawaida. Akili yako ndogo wewe unaliona la kawaida tu.nyie ndo wale wanaume mnaovaa heleni na kusuka ili mfanane na kina nani sijui
 
Mzee Mangula na Mzee kinana hawakupasa kujiudhuru kabla ya Oct 2025.Angalia sasa bus limekosa breki kwenye mteremko baadhi ya abiria wameanza kujirusha nje
Yupo Mzee wa Kichuri, huenda akaokoa jahazi lisiendelee kuzama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…