Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
watangazaji tutaita Tanganyika, naipenda TanganyikaGame kati ya Zanzibar na SISI, sisi tutajiiita Tanzania Bara kwa unafki wetu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watangazaji tutaita Tanganyika, naipenda TanganyikaGame kati ya Zanzibar na SISI, sisi tutajiiita Tanzania Bara kwa unafki wetu!
Laiti mngejua kuwa serikali ya muungano, kupitia TFF ikipigania zanzibar kuwa mwanachama wa CAF, na imekuwa ni faraja na wala si vinginevyo.....Mungu ibariki nchi ya Zanzibar , sasa tunaiomba Tanganyika nayo iirejeshee uhuru wake Zanzibar .
Na Hayatoo kashindwa urais wa CAF
Wewe akili yako ni ndogo hivi Muungano wa Great Britain Unafanana na Muungano wa Tanzania au Unaropoka tuu.Acha ushamba mkuu! Angalia namna UK ilivyo! Wales, England na Scotland vinajitegemea! Soma uelimike sio kukariria mitihani!
Yaani hili dubwasha likisambaratika sijui nikupe zawadi gani kwa utabiri wako!Safi hii ni hatua nzuri kuelekea Uhuru
Inamaana wachezaji wa timu ya taifa ni wabara peke yao? Kama ni hivyo hizo timu zitakapo kutana itakuwa ni muda muafaka watu kuonyesha hisia zao.Game kati ya Zanzibar na SISI, sisi tutajiiita Tanzania Bara kwa unafki wetu!
Niwanachama wa fifa piaGreat Britain *Uingereza) ni muungano wa Visiwa vya Scotland, Wales na Ireland. Hapa kila kisiwa ni mwanachama wa chama cha Mpira Ulaya; Sasa kuna ubaya gani kwa Zanzibar?
Muungano ni muungano tu! Kwa namna ulivyo kiazi! Huoni kuwa Zanzibar wana !mpaka rais na bendera yao! Wana Bunge na mawaziri! Akili yako umeifukia bar!Wewe akili yako ni ndogo hivi Muungano wa Great Britain Unafanana na Muungano wa Tanzania au Unaropoka tuu.
Vipi kuhusu Scotland.... wales zina tafauti gani na Zanzibar...Hongereni,ila wa FIFA hamtapata kwa sababu Zanzibar siyo nchi - haina dola,haina mipaka nk.
Hongereni,ila wa FIFA hamtapata kwa sababu Zanzibar siyo nchi - haina dola,haina mipaka nk.
Ombi la Zanzibar kuwa mwanachama wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitishwa leo bila kupingwa. Zanzibar ni mwanachama wa 55 wa CAF.
Taaratibu Zanzibar inasonga mbele ukiangalia Suala la Vibatari ndani ya siku chache zijazo hii ni hatua kubwa kwao.
Swali Wimbo wa Taifa watatumia Upi? Je wachezaji wakihama kutoka Zanzibar Kuja bara Watahitaji zile International Transfer Certificate (ITC)?
===========
![]()
Zanzibar is new Caf member
Zanzibar FA has been admitted as the newest member of Caf, supersport.com can report.
The new development will see Zanzibar as the 55th member of Caf after the 39th Caf general assembly in Addis Ababa unanimously voted to admit the country's FA.
Tanzania FA president Jamal Malinzi made his presentation on behalf of the Zanzibar FA asking the assembly to admit Zanzibar.
"Zanzibar has been active over the years and it has a running league and they are independent. I don't see why they should not be admitted as an independent federation because they have their own constitution and statutes," Malinzi told the Caf assembly on Thursday.
In 2005 Zanzibar's move to join Fifa was rejected by the congress.
Chanzo: Zanzibar is new Caf member