Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,332
Tatizo kinadharia Tan ZAN ia ina Zanzibar ndani yake, labda tufumbe macho!!!!Itaitwa hivyo hivyo yaani Tanzania, kama ilivyo Sudan na Sudan Kusini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kinadharia Tan ZAN ia ina Zanzibar ndani yake, labda tufumbe macho!!!!Itaitwa hivyo hivyo yaani Tanzania, kama ilivyo Sudan na Sudan Kusini
Hata Sudan ni Sudani KaskaziniTatizo kinadharia Tan ZAN ia ina Zanzibar ndani yake, labda tufumbe macho!!!!
Serikali ya Muungano nayo ilishiriki kupigania Zanzibar ipewe uanachama CAF, ndiyo maana TFF ilipiga kampeni. Zanzibar tayari wana nyimbo na bendera, hata Tanganyika ina nyimbo na bendera kiasi cha kurudishwa tu. Ila sema tunapaswa kutumia Tanzania Bara au Tanganyika? Unafiki utaanzia hapa!Hapo patamu sana.Itabidi tufanye kama UK.England,Scotland,Wales kila nchi na wimbo na bendera yake.Serikali itabidi ilitoe ufafanuzi.Hivi hawa CAF wamewasiliana na Serikali yetu kabla ya kutoa uamuzi.Naona una kila.Chembe ya kuvunja muungano wetu.
Usisahau kuwa wana Rais wao pia.Zanzibar wanawimbo na bendera yao kabisa
Haa haa Asante Mpweke kwa taarifa.Tusubiri tuoneSerikali ya Muungano nayo ilishiriki kupigania Zanzibar ipewe uanachama CAF, ndiyo maana TFF ilipiga kampeni. Zanzibar tayari wana nyimbo na bendera, hata Tanganyika ina nyimbo na bendera kiasi cha kurudishwa tu. Ila sema tunapaswa kutumia Tanzania Bara au Tanganyika? Unafiki utaanzia hapa!
Watarudishiwa tu kiti chao cha UN kwani bado kipoNa sisi tutatumia upi coz itakuwa sio timu ya Tanzania tena bali Tanganyika
Watarudishiwa tu kiti chao cha UN kwani bado kipomwisho cuf tu hao.fifa na UN hakuna mchezo mchezo.wanakuangalia tu ni nch au mkoa bass
Zanzibar ina rais, bendera, wimbo wakeHongera kwao....inakaribia miaka saba sasa tangu watume maombi yao.
Naiona Zanzibar ikifanya vizuri kuliko Tanganyika Stars!
Sasa ikitokea tunacheza nao katika mashindano ya Afcon.......timu kutoka Tanganyika itapeperusha bendera gani?
Itaimba wimbo upi wa Taifa
Bendera ya Tanganyika inajulikana na wimbo wake upo pia.