Mkutano wa Freeman Mbowe M/Kiti - CHADEMA Taifa (Nyehunge - Buchosa Sengerema) na Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti kule Chato inatoa ujumbe muhimu sana!

Mkutano wa Freeman Mbowe M/Kiti - CHADEMA Taifa (Nyehunge - Buchosa Sengerema) na Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti kule Chato inatoa ujumbe muhimu sana!

Baraza la mawaziri likiongozwa na Madellu + kamati kuu ya ccm + chawa wote pamoja na kunguni na ndorobo wa mama ukichanganya akili zao zooooooote unapata nusu ya akili za Lissu Kama Kuna anaebisha abinue kijambio nimuoneshe dushe
 
ccm wamepotezana kila wakichungulia upande wapili mikutano imejaa nyomi bila kusombwa wala kupewa pesa, wakaingiza udini ikashindikana wakasingizia wanatukanwa matusi pia wamekwama,wakiulizwa yateje hayo matusi wanashindwa waendelee kupigwa spana kila sehemu watanyosha maelezo.
Inachosha na kukikaisha haraka mno kuusema na kutetea uongo na uovu kama huu..

Ni lazima uwe na ujasiri wa kichawi na kishetani kuamka kila siku ukiwa umepanga pointi za kiovu na udanganyifu dhidi ya watu wa Mungu..

Wameshachoka. Hata waliobaki, hawaendi popote. Mwisho wa siku watanyooka tu..
 
Kinghai na Lissu wameishianeje
Kingai alishamgwaya jamaa..

Yeye na wenzake wako chemba bila shaka waki compare na ku - contrast sheria mbali mbali za kumkamatia..

Unafortunately for them ni kuwa, hawaoni sheria yoyote iliyovunjwa..!!
 
Ukweli nikwamba CHADEMA haijawahi kukosa watu kwenye mikutano ila Bado kichapo kipo pale pale sijui shida nini!sioni mantiki ya watu kwenda kusikiliza mipasho bila ya kuchukua hatua
Kuendelea kushiriki chaguzi hizi za kishenzi ni kupoteza muda, ni aidha yatokee machafuko ili box la kura liheshimiwe, ama yafanyike mapinduzi ya kijeshi ili ipatikane katiba mpya, kisha vyama vyote vianze upya bila upendeleo wowote.
 
mapinduzi ya kijeshi i
This is the right way forward, lugha watakayoisikia CCM ni hiyo short of that CCM hawatasikia lolote. Areocities walizozifanya hawawezi kuachia madaraka
 
Back
Top Bottom