Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inachosha na kukikaisha haraka mno kuusema na kutetea uongo na uovu kama huu..ccm wamepotezana kila wakichungulia upande wapili mikutano imejaa nyomi bila kusombwa wala kupewa pesa, wakaingiza udini ikashindikana wakasingizia wanatukanwa matusi pia wamekwama,wakiulizwa yateje hayo matusi wanashindwa waendelee kupigwa spana kila sehemu watanyosha maelezo.
Kingai alishamgwaya jamaa..Kinghai na Lissu wameishianeje
Kuendelea kushiriki chaguzi hizi za kishenzi ni kupoteza muda, ni aidha yatokee machafuko ili box la kura liheshimiwe, ama yafanyike mapinduzi ya kijeshi ili ipatikane katiba mpya, kisha vyama vyote vianze upya bila upendeleo wowote.Ukweli nikwamba CHADEMA haijawahi kukosa watu kwenye mikutano ila Bado kichapo kipo pale pale sijui shida nini!sioni mantiki ya watu kwenda kusikiliza mipasho bila ya kuchukua hatua
Punguza utoto dogo.Umeandika ukiwa umelewa pombe mpya inaitwa Antipas mbowe ,,
nimeona akihojiwa kama ataenda ,Katia kavu ,hawezi kwenda sehemu na hajaambiwa anaitiwa NiniKile kichwa cha bata hakimuwezi Lissu!
Heche, Msigwa , Lema and many othersTANO na mwisho, nafurahishwa sana na uwezo na ufundi wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu wa kujenga hoja na kuwasilisha ujumbe wao kwa watu..
This is the right way forward, lugha watakayoisikia CCM ni hiyo short of that CCM hawatasikia lolote. Areocities walizozifanya hawawezi kuachia madarakamapinduzi ya kijeshi i