Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi nahisi alipendekezwa Dark City lakini mjadala kutoka kwake kuikataa nafasi hiyo ukawepo mda mrefu.Mkuu mimi napenda kufahamu tumefikia wapi na suala la katibu kabla ya kuendelea kuangusha point halafu zipotee hewani.
mkuu Kiby
umenena vyema ila kuhusu suala la mapenzi katika katiba mhhhh!
ngoja tumsubiri mtaalam wa masuala ya katiba atushauri namna ya kuliweka sawa suala hili.
Kuhusu nanihii nadhani akirudi mwenyekiti ataipambanua
Sasa naomba niwaite wafuatao watoe maoni yao. Tafadhali njooni jukwaani. kamata Microphone please:
The Good
Ambassador
Dark City
Lubaluka
payuka
Misterdennis
Chesty
Mujuni2
Kabengwe
mlachake
Teh teh teh! Akirudi Superman hapa utamueleza kwa nini umefanya mabadiliko! Kwani amekuachia full madaraka?Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi nahisi alipendekezwa Dark City lakini mjadala kutoka kwake kuikataa nafasi hiyo ukawepo mda mrefu.
Labda WOS anajua suala la katibu lipo vipi.
Lakini unaweza kujitolea kuwa katibu maana hata huyu mwenyekiti wetu kajitolea pia.
jamani kuna anayepinga???
Naona kimya chenu kinaashiria tumempata katibu
Hongera Ambassador nakuomba uchukue nafasi yako ya ukatibu.
Turudi ktk mjadala sasa
Kwanza tunachangia tuuu hata lunch hatupewi ruksa! Sijasikia sitting allowance ni dola ngapi!
Mheshimiwa mwenyekiti natoa hoja
.
Nahisi harufu ya uccm kwa mbaali. Ama labda ni upepo umelipiga jengo la makao makuu Lumumba kuelekea huku jangwani tuliko?
JAMANI TUZINGATIE UTAIFA WETU KULIKO CHOCHOTE.
Nyunyu karibu sana. Toka jana nilituma watu wakutafute nikaambiwa umekwenda kule nanihii . . . kunanihiii . . . shughuli muhimu.
Siku nyingine ukisikia kikao muhimu kama hiki jitahidi kuwahi. Na siku hizi kuna Boda Boda so, kuwahi siyo issue ya foleni tena.
Turudi kwenye hoja sasa:
Hili na katiba liko sawa na limekaa vema. Tusaidiane kumtafuta dr. Mvungi atuletee draft tuanze kuipitia hapa.
Hili na Elimu nadhani ni Muhimu ila mpaka sasa hatujaliweka sawa. Kuna moja alisemaa elimu ya msingi iwe hadi kidato cha nne. Je baadaa yaa hapo itakuwa imemwandaa kijana wa Kitanzania kukabiliana na maisha?
wale waliobahatika kuhudhuria Silivan Summit mlimsikia Rais wa Mozambique akiongea kuwa yeye Mpango Mzima wa Elimu ni kujenga Vocational training Centres mapka level ya kata. ameshafanya hivyo kila wilaya sasa. Na akasema vijana wakimaliza wanaingia moja kwa moja katika soko la ajira ya kazi za mikono na uzalishaji.
Tuna shida kwani haapa vijiweni down town nawaona hadi university Graduates na wengine na Masters wakitafuta ajira. Wa diploma na advanced ndo usimseme, tayari nina CV 10 wakiomba niwatafutie ajira nami wala sijawapatia bado kwani hazipo.
Hebu tuelewane katika hili, tunataka nini hasa katika Elimu? Let us be brief and to the point.
Du kwa hali hii sijui kama tutafika...Kwanza tunachangia tuuu hata lunch hatupewi ruksa! Sijasikia sitting allowance ni dola ngapi!
Mheshimiwa mwenyekiti natoa hoja
Kaaazi kweli kweli!Aiseee . . . .Nilifikia wapi tena . . .
HII KALI! Wiki hii sijacheka kama nilivyocheka baada ya kusoma post ya mwenyekiti wangu wa mkutano!
Jamani...kiswahili chaenda kikiwa kigumu.Kama haya ni matusi ya nguoni, je yale yenyewe ya nguoni yatakuwa nini?
Kwanza tunachangia tuuu hata lunch hatupewi ruksa! Sijasikia sitting allowance ni dola ngapi!
Mheshimiwa mwenyekiti natoa hoja