Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Acha uchochezi.. Wazanzibari wote waliokidhi vigezo walipewa fursa kutia nia. Wazanzibari wenyewe wakachujana, wakaja na majina matano ya 'madereva' ambao waliona wanafaa kuongoza chombo.. Kwa kuwa chombo kiko kimoja na anayehitajika ni dereva mmoja, Dodoma inachofanya ni kuchukua 'yeyote' kati ya wale watano waliochaguliwa na Wazanzibari wenyewe!