Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Majina matatu ya Wagombea Kiti Cha Urais Zanzibar kupitia chama Cha mapinduzi CCM @ccm_tanzania
1.Dokta Khalid Mohamed
2. Shamsi Vuai Nahodha
3. Dokta Hussein Mwinyi
 
Zanzibar ule ni mkoa, rais wao anateuliwa kama wakuu wa mikoa wengine tu.
Baada ya kumteua majeshi hupelekwa Zanzibar kuhakikisha anatangazwa mshindi, ndivyo ilivyo.
 
Vuai shati ndo linalo mpitisha ila anajieleza kwa wasi
Ila Hussein naona yanatimia yakuwa raisi amejieleza kwa kujiamini
 
Back
Top Bottom