Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Acha uchochezi.. Wazanzibari wote waliokidhi vigezo walipewa fursa kutia nia. Wazanzibari wenyewe wakachujana, wakaja na majina matano ya 'madereva' ambao waliona wanafaa kuongoza chombo.. Kwa kuwa chombo kiko kimoja na anayehitajika ni dereva mmoja, Dodoma inachofanya ni kuchukua 'yeyote' kati ya wale watano waliochaguliwa na Wazanzibari wenyewe!
 
Umekosa mvuto wakati wewe umevutika kuja kuchangia hapa!
Macho na masikio yote Dodoma wikiendi hii
wanachofanya Dodoma ni matumizi mabaya ya pesa za umma kwani mgombe si anajulikana au maana Zanzibar ni mbalawa uku bara ni magu sasa wanafanya nini
 


Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta.
 
Ainisha mambo matano tu abayo yamo kwenye ilani,lakini hayajatekelezwa
1. Uk.7 Ajira million walizoahidi
2. Uk.14 Hekta million 2 kilimo cha kisasa
3. Uk 24 mliahidi Meli 10 kubwa za uvuvi ili zilete ajira kwa vijana elfu 30?
4. Wajasirimiali wadogo kunufaika na DSE!!
5. Uk 31 Viwanda vitatoa 40% ya ajira zote!!

Niendelee mkuu?
 
Jeshi lao linaitwaje?
 
Tuma salam hapo
johnthebaptist

Ova
 
Sawa Sawa
Mchakato Wa Mafiga Matatu Umeanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…