Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Mungu afanye kila mbinu, Nahodha ashinde, ni mtoto wa mnyonge, mwenye msimamo sahihi na si kuridhishana uongozi, mm sipendi Mwinyi apite sababu itaonekana wazi baba yake ndio anambeba
Kwa ninavyoona wanavyoheasabu kura, Mwinyi ameshika karatasi nyingi zaidi, hivyo ndo atakuwa mgombea rasmi
 
Wanaenda kumpeleka raisi ambae ata siasa Zanzibar ajafanya miaka yote Mwinyi siasa kafanyia bara.

Huyu alitakiwa akwate kuleta usawa akina Nahodha awajulikani bara kama yeye; kuna haja ya kubadili huu mchakato mbeleni kama mambo yenyewe ndio hayo.

Haya mambo ya nepotism sio demokrasia.
 
MWENYEKITI

Adhabu ya kumfukuza MEMBE mnaikubali??

WAJUMBE

NDIOOOOOOO

TUNA IMANI NA KINAAAANAAA

CCM HOYEEEE.
 
Kwa hiyo ni varangati kati ya Mwinyi na Maalim Seif na wengineo! Ngoja tuone
 
Wanaenda kumpeleka mtu ambae ata siasa Zanzibar ajafanya miaka yote Mwinyi siasa kafanyia bara.

Huyu alitakiwa akwate akina Nahodha awajulikani bara kama yeye; kuna haja ya kubadili huu mchakato kama mambo yenyewe ndio hayo.
Hata mimi naona ilitakiwa wajumbe wa Zanzibar peke yao ndo wawe wanachagua mgombea Zanzibar.
 
Back
Top Bottom