Genge la wahuniSasa Pale kuna Kikundi tu sio chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Genge la wahuniSasa Pale kuna Kikundi tu sio chama
Kwanini raisi wa Znz acteuliwe Dodoma?
Kwanini hili lisingeachwa kwa wazanzibar wenyewe?
Mwinyi atapata sababu ya jina tu. Kuna mtu kaandika kuwa Nahodha hakuwemo kwenye majina matano,ila kaja kutokea kwenye majina matatu. Ni kweli hii ?
Kwa ninavyoona wanavyoheasabu kura, Mwinyi ameshika karatasi nyingi zaidi, hivyo ndo atakuwa mgombea rasmiMungu afanye kila mbinu, Nahodha ashinde, ni mtoto wa mnyonge, mwenye msimamo sahihi na si kuridhishana uongozi, mm sipendi Mwinyi apite sababu itaonekana wazi baba yake ndio anambeba
Tulishasema Mwinnyi lazima ashinde Ni presidential materialMikono ya Mwinyi imejaa kura, daah
Hata mimi naona ilitakiwa wajumbe wa Zanzibar peke yao ndo wawe wanachagua mgombea Zanzibar.Wanaenda kumpeleka mtu ambae ata siasa Zanzibar ajafanya miaka yote Mwinyi siasa kafanyia bara.
Huyu alitakiwa akwate akina Nahodha awajulikani bara kama yeye; kuna haja ya kubadili huu mchakato kama mambo yenyewe ndio hayo.