Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Membe hana akili kabisa. Alitakiwa asijitoe CCM ili asikilizie leo wangesemaje .Naona wamemsamehe Kinana.Membe alitakiwa ajifanye kondoo aombe msamaha. Wamsamehe then hapo hapo anachukua form. Membe hajui kucheza Pele.
Angewekewa figisu tuu hata kama angechukua angeishia kuchukua tuu wangempitisha huyo huyo Magu.
 
Hata mimi naona ilitakiwa wajumbe wa Zanzibar peke yao ndo wawe wanachagua mgombea Zanzibar.
Ni sawa sawa na mtu ukagombee ubunge na mwenyeji wakati ujulikani kihivyo jimboni.

Mwinyi kama yupo nyumbani siasa kafanyia bara tu wajumbe wa bara wanamuona kama mwenzao.

It must be said mwisho wa siku Mwinyi ndio kajielezea vizuri as presidential material mbele ya wajumbe inawezekana Nahodha viatu vya uraisi ni vikubwa kwake maana muda wote yeye anamuongelea Dr Shein badala ya kujinadi yeye mwenyewe.
 
Hayaa Sasa KUMEKUCHA wanaSONGWE WANAWAKILISHA DUKUDUKU juu ya hawa kina "nassari"......

Enhe Mwenyekiti anajibu...

CCM NI CHAMA CHA WOTE
TUVUMILIANE JAMANI
TUSAMEHEANE.

Hayaa Lijalikali na kina Nassari japo wengi wetu vijana wa CCM hatuwataki huku kwetu.......ila Mwenyekiti wetu mpendwa KAWATETEA.....
Nasi HATUNA budi KUKUBALI😀😀😀
 
Membe hana akili kabisa. Alitakiwa asijitoe CCM ili asikilizie leo wangesemaje .Naona wamemsamehe Kinana.Membe alitakiwa ajifanye kondoo aombe msamaha. Wamsamehe then hapo hapo anachukua form. Membe hajui kucheza Pele.
Mimi binafsi nilisema Membe kachemka kafanya maamuzi kwa hasira na mihemko kakosea

Nilikuja gundua baadaye kuwa Alikuwa na genge la ku mi slead vyombo vya usalama na public waamini Kuna something very wrong ndani ya CCM na serikali kumbe mwongo na kuwa Kuna mkono fulani wa nchi fulani kwa sababu fulani ikaja gundulika kuwa muongo hiyo iliua credibility yake for good.Hakuitendea haki nchi kuweka majungu kwenye issue nzito zilizo mislead wengi haikuwa sahihi

Membe hajaitendea haki Nchi serious

Tunashukuru Raisi Magufuli kusimamama kidete bila kutetereka Issue ya Membe
 
Back
Top Bottom