Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kuna CCM aliyeitendea haki nchi ??
Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna CCM aliyeitendea haki nchi ??
Kalpana hebu ifafanue hyo maturity tujibwedee hapa....Ccm naowajua wakitaka mtu fulani atapita hata kwa kupindua meza. Mm nilimuona yule Doc kama yuko matured kidogo kuliko mwinyi
Hivi kuna mtu ambaye alitegemea kumsikia mgombea mwingine tofauti na Hussein Mwinyi?
Too low IQHuyo ni waziri wa ulinzi , wanajua CCM haishindi , ni lazima watumie jeshi na vyombo vya usalama kumweka huyo kiumbe madarakani na ndio wakamchagua
Nilitegemea angalau Mbarawa aingie kwenye top 3.
Vuai ana bahati mbaya au hana bahati kabisa.
Ndo ujue kuwa ile kauli ya Prof.Lumumba wa Kenya kuwa.
CCM chama Bora Afrika,mwenzake ni ANC.
Imeisha hiyooooo
Siempre siempre CCM, Vivaaa
Rais wao anachaguliwa zanzibar, huko dodoma hao ni ccm ndio wamekaa huko kuchaguana, hao ni ccm, sio wazanzibariWazanzibari hata siwaelewi; yaani wana jeshi, mahakama, wimbo wa taifa lao, na bunge.
Lakini pamoja na mbwembwe zao zote hizo, Rais wao anachaguliwa Dodoma, Tanzania Bara, sijui wanakwama wapi?!.
Hii ni sawa na baba wa familia kuwa na nyumba yako, unaacha pesa ya matumizi kila siku, lakini chakula kinapikwa kwa jirani, na umeshazoea kwenda kula huko.
Vuai alikuwa kama raia tu kwa miaka 10 iliyopita. Siasa usipotokea kwenye vyombo vya habari, ndio basi tena. Hakuwa na cheo cha kumfanya aonekane mara kwa mara. Hata kuingia kwenye 3 bora sikutegemea.
Wamemuweka kwenye 3 bora kama rubber stamp tu ya Dr Mwinyi.Vuai alikuwa kama raia tu kwa miaka 10 iliyopita. Siasa usipotokea kwenye vyombo vya habari, ndio basi tena. Hakuwa na cheo cha kumfanya aonekane mara kwa mara. Hata kuingia kwenye 3 bora sikutegemea.
Afanye siasa gani zaidi wakati amekuwa mbunge wa Jimbo la kwahani Unguja kwa vipindi vitatu mfululizo 2005-2020, amekuwa mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa na mjumbe wa kamati kuu ya CCM kutokea Zanzibar kwa muda mrefu sifa hizo zinatosha kuijua siasa ya ZanzibarWanaenda kumpeleka raisi ambae ata siasa Zanzibar ajafanya miaka yote Mwinyi siasa kafanyia bara.
Huyu alitakiwa akwate kuleta usawa akina Nahodha awajulikani bara kama yeye; kuna haja ya kubadili huu mchakato mbeleni kama mambo yenyewe ndio hayo.
Haya mambo ya nepotism sio demokrasia.
Karume Baba, Karume Mtoto, Mwinyi baba na sasa Mwinyi mtoto. Twende nao, nitaulizwa " Mbona tulikua na Bush Baba halafu Bush Mtoto?" nitajibu nini mimi. Nasikia jamaa hata JKT alikwepa, sijui wana mpakazia. Sasa tusilalamike sana labda Maalimatapata upenyo ni wazanzibar kuamua, au kuna jecha mwingine kajificha mahala?
Wamemuweka kwenye 3 bora kama rubber stamp tu ya Dr Mwinyi.
Oh ho wamenuna CCM Zanzibar , maskani manung'uniko- oh Usultani siyo lazima mwarabu.
Mbona hushangai Mwenyezi Mungu kuwapendelea wana waISRAEL?!!!
Itakuwa sisi BINADAMU.....
Yaani sijui siasa zenu za kiliberali zenye WISHFUL THINKING ziliasisiwa pale ACUTE WARD NO.14 HOSPITALI YA MIREMBE JIJI LA DODOMA?!!!
Imeisha iyoooo twende na Dr Mwinyi.