Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
๐๐๐NDIO IMEANZA HIYO , NA ALETWE POPOBAWA TUMGEUZE YEYE MARA HII ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐NDIO IMEANZA HIYO , NA ALETWE POPOBAWA TUMGEUZE YEYE MARA HII ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Hiyo misukule ya ufipa ilikuwa inamsikiliza kigogo wa twiter! Yani aliwashika akili kabisa wana ufipa! Imekula sana matango pori ya kigogoS
Sasa km Nahodha na credibility Yale yote anaambulia kura 16....
Sembuse Prof.Mbarawa?!!!
Waulizeni watu wa maskani ya kisonge watawajuza wasiyoyajua wale UFIPANI....
๐๐๐ LoooHiyo misukule ya ufipa ilikuwa inamsikiliza kigogo wa twiter! Yani aliwashika akili kabisa wana ufipa! Imekula sana matango pori ya kigogo
Nadhani umeona na kusikia.Naaaaah, Nahodha lazima achukue, nilimpa Makame ila kakosa basi tena.. Sasa Nahodha is better kuliko Mwinyi by far.
Jiulize tena,jiulize kwanini Nahodha amerejeshwa baada ya kutokuepo kwenye tano bora!
Wazanzibari hata siwaelewi; yaani wana jeshi, mahakama, wimbo wa taifa lao, na bunge.
Lakini pamoja na mbwembwe zao zote hizo, Rais wao anachaguliwa Dodoma, Tanzania Bara, sijui wanakwama wapi?!.
Hii ni sawa na baba wa familia kuwa na nyumba yako, unaacha pesa ya matumizi kila siku, lakini chakula kinapikwa kwa jirani, na umeshazoea kwenda kula huko.
Facts.Unaangaliwa uwezo wa mtu namna anavyoweza kukabiliana na changamoto zilizopo na kuandaa mazingira ya kuzikabili changamoto zijazo bila kutumia nguvu kubwa, mihemuko, na kubabaika.
Tuko kwenye mapambano ya kiuchumi. Tukiteleza hapa itatupa shida sana huko mbele ndiyo maana aangaliwi mtu kabila, rangi, dini, ama familia yake anayotoka na mambo mengine kama hayo ili apewe dhamana ya uwakilishi, la hasha. Ni uwezo wake tu ndiyo una mbeba. Na yote haya yanafanyika katika mazingira ya kidemokrasia.
Sijafuatilia mjadala rasmi. Lakini nadhani kikao kilikuwa na ajenda moja ya kuchagua mwakilishi Zanzibar. Mambo ya Songwe yameingiaje !?Jamaa alivyo na hasira na visasi, muuliza swali ndio mwisho wake.
wanachofanya Dodoma ni matumizi mabaya ya pesa za umma kwani mgombe si anajulikana au maana Zanzibar ni mbalawa uku bara ni magu sasa wanafanya nini
Sijafuatilia mjadala rasmi. Lakini nadhani kikao kilikuwa na ajenda moja ya kuchagua mwakilishi Zanzibar. Mambo ya Songwe yameingiaje !?
Anachukulia wapi wakati mkutano ndio anapitishwa mgombea?
Ndo maana tunasema huu MUUNGANO NI FAKE kwa 100%!
Nchi yenye Serikali mbili na Marais wawili:
(1). Serikali ya JMT......Rais Jiwe.
(2). Serikali ya BMZ.....Rais Shein.
Lakini maamuzi yote ya Serikali zote 2 yanafanywa na mtu mmoja Dikteta Jiwe!!
Upuuzi mtupu!
Sijafuatilia mjadala rasmi. Lakini nadhani kikao kilikuwa na ajenda moja ya kuchagua mwakilishi Zanzibar. Mambo ya Songwe yameingiaje !?