Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

Uchaguzi 2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

S

Sasa km Nahodha na credibility Yale yote anaambulia kura 16....


Sembuse Prof.Mbarawa?!!!

Waulizeni watu wa maskani ya kisonge watawajuza wasiyoyajua wale UFIPANI....
Hiyo misukule ya ufipa ilikuwa inamsikiliza kigogo wa twiter! Yani aliwashika akili kabisa wana ufipa! Imekula sana matango pori ya kigogo
 
Naaaaah, Nahodha lazima achukue, nilimpa Makame ila kakosa basi tena.. Sasa Nahodha is better kuliko Mwinyi by far.
Nadhani umeona na kusikia.
Mzaramo wa Mkulanga ameshanyakua tiketi
 
Wazanzibari hata siwaelewi; yaani wana jeshi, mahakama, wimbo wa taifa lao, na bunge.

Lakini pamoja na mbwembwe zao zote hizo, Rais wao anachaguliwa Dodoma, Tanzania Bara, sijui wanakwama wapi?!.

Hii ni sawa na baba wa familia kuwa na nyumba yako, unaacha pesa ya matumizi kila siku, lakini chakula kinapikwa kwa jirani, na umeshazoea kwenda kula huko.

Ndo maana tunasema huu MUUNGANO NI FAKE kwa 100%!
Nchi yenye Serikali mbili na Marais wawili:
(1). Serikali ya JMT......Rais Jiwe.
(2). Serikali ya BMZ.....Rais Shein.
Lakini maamuzi yote ya Serikali zote 2 yanafanywa na mtu mmoja Dikteta Jiwe!!
Upuuzi mtupu!
 
F
Unaangaliwa uwezo wa mtu namna anavyoweza kukabiliana na changamoto zilizopo na kuandaa mazingira ya kuzikabili changamoto zijazo bila kutumia nguvu kubwa, mihemuko, na kubabaika.

Tuko kwenye mapambano ya kiuchumi. Tukiteleza hapa itatupa shida sana huko mbele ndiyo maana aangaliwi mtu kabila, rangi, dini, ama familia yake anayotoka na mambo mengine kama hayo ili apewe dhamana ya uwakilishi, la hasha. Ni uwezo wake tu ndiyo una mbeba. Na yote haya yanafanyika katika mazingira ya kidemokrasia.
Facts.
 
Pongezi kwa wawakilishi wote wa Urais 2020 natumaini tamaa na roho za malipizi mtaziweka nyuma muhula huu endapo mtapita uchaguzi mkuu.
 
Kwa kupitishwa leo, naona kabisa rais wa Zanzibar ajae ni Hussein Mwinyi, hakuna wa kupinga.

Japokua siipendi CCM lakini huyu jamaa hua namkubali Sana, yupo Makini.

kenanikihongosi_20200710_4.jpg
 
Zanzibar ni kama nzi tu siku wakiacha ujinga watatengeneza asali na kwa hili walilofanya sasa ni zamu ya wa zbar kuchagua rais wao huko huko zbar co huyu mamluki wakutengenezewa kutoka DODOMA
 
Hongera Hussein Mwinyi.
Umeandaliwa, umechukua.
Bado hatua ya pili
FB_IMG_1594384381580.jpg
 
Bwashee Zanzibar haina jeshi, jeshi Ni la serikali ya Muungano wa Tanzania na polisi ni ya Muungano. Zanzibar ina kikosi cha kuzuia magendo na vyuo vya mafunzo tu basi. Haina uraia na haina international recognition hivyo haina soveregnity.

Mahakama ya Zanzibar ni mahakama kuu tu lakini katika Tanzania kuna mahakama ya rufani ndiyo mahakama ya juu kabisa na ni moja tu.Katika kesi ya Machano Hamis na wenzake,mahakama ilisema,Zanzibar hauwezi kufanyika uhaini maana Zanzibar siyo dola.
 
Ndo maana tunasema huu MUUNGANO NI FAKE kwa 100%!
Nchi yenye Serikali mbili na Marais wawili:
(1). Serikali ya JMT......Rais Jiwe.
(2). Serikali ya BMZ.....Rais Shein.
Lakini maamuzi yote ya Serikali zote 2 yanafanywa na mtu mmoja Dikteta Jiwe!!
Upuuzi mtupu!

Relaaaax,

Miungano haifanani DUNIANI KOTE.

Unataka tuige kila kitu cha siasa kutoka USKOCHI.
Tuige kila jambo kutoka zilipoanzia pale UGIRIKI.

Hamkumshangaa mwalimu Nyerere alipotuletea Ujamaa wa KIAFRIKA!!!

Vita dhidi ya mapambanoni ya Corona tumefanana na wenzetu wengi!!

CCM chama Cha kipekee chenye positive values za mwafrika ASIYEKARIRI MAMBO.

Marais wake wastaafu kuwa kitu kimoja kila hatua.

Twende na Dr Mwinyi 2020
Twende na Dr Magufuli 2020

Imeishaaa iyoooo
 
Back
Top Bottom